Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
Binti yangu Mrembo by nature umeweka nyavu hapa. Baada ya kuhang out mtahang in bila shaka. Hata hivyo nakupongeza kuwa huu nao ni ubunifu hasa usawa huu ambapo mibuzi haichuniki. Go ahead and grab one ila pimeni kabla ya kwenda deeper.
wote humu tumeoa labda ukamate vitoto vya UDOM
Habari zenu?
Kama uko single na hutajali naomba kampani yako, ni kamapani ya mambo yooote isipokuwa sex tu. Mambo kama kuhang out pamoja, kwenda church kama ww ni muendaji na kubadilisha uzoefu kwa namna mbalimbali. Najihisi kuboreka so nimeona nitafute mtu wa kubadilishana nae uzoefu kuhusu lifeee huenda nkapata jipya la kujifunza. Umri awe kuanzia 29 years+. Niko serious wapendwa. Kuhusu gharama kila mtu atawajibika kwa gharama zake. Nahitaji wawili so kama utapenda niinbox kwenye mbynature@rocketmail.com. Hii ni kwa walio serious tu na si utani.
Mbarikiwe...
Yaani ndo hvyo sina bahati tena, niko mbali dada angu ningeku pm. . .na usinge regret my company. . .sema distance mbaya.
mbali wapi ndugu, usijal siku ingne akitokea wa mkoa wako anaetaka kampani utajitokeza
Niko huku Lindi but it is for sometime then ntarudi mjini...
poa bhana, kila la heri huko, ukirudi utujulishe
Umeshawapata tayari?Habari zenu?
Kama uko single na hutajali naomba kampani yako, ni kamapani ya mambo yooote isipokuwa sex tu. Mambo kama kuhang out pamoja, kwenda church kama ww ni muendaji na kubadilisha uzoefu kwa namna mbalimbali. Najihisi kuboreka so nimeona nitafute mtu wa kubadilishana nae uzoefu kuhusu lifeee huenda nkapata jipya la kujifunza. Umri awe kuanzia 29 years+. Niko serious wapendwa. Kuhusu gharama kila mtu atawajibika kwa gharama zake. Nahitaji wawili so kama utapenda niinbox kwenye mbynature@rocketmail.com. Hii ni kwa walio serious tu na si utani.
Mbarikiwe...
hahaha sema wewe umeoa, usiwanenee wenzako
unajua ni ngumu kujua kama ni serious au???
hahaha imekuwa tena interview, we king kong bana, me mpenzi ninaye
Sasa kama mpenzi unaye ameshindwa kukuondolea m-boreko? Je tukitaka kwenda out tunaenda nae au?