Habari zenu wataalamu wa
jukwaa hili.
Nime-instal software ya Nokia PC Suite ili kuniwezesha kutumia simu
original ya nokia kama modem ku-access internet.
Nikinunua bundle ya voda naingia kwenye suite, nachagua option zote
muhimu nina-browse kama kawaida.
Hivi majuzi nikataka kujaribu bundle za Tigo. Kwenye ile dropdown option
ya kutafuta network provider, Sikuona Tigo Tanzania.Ila ipo Vodacom
Tanzania. Nikababaika kidogo, nichague network provider gani? Nikaacha
nikarudia bundle ya voda
Sasa nawauliza wataalamu wangu. Kama ninataka kutumia bundle za tigo
nifanyeje ilihali kwenye network provider Tigo Tanzania haipo?
Asanteni sana.