Kwa wajuzi wa kutengeneza android app pitieni hapa

Kwa wajuzi wa kutengeneza android app pitieni hapa

Xiang Hao

Senior Member
Joined
Nov 19, 2016
Posts
126
Reaction score
98
As salaam aleikum wandugu mimi ni mmiliki wa blog ya kiislamu inaitwa Uislamuwangu.blogspot.com Naomba msaada wa kutengenezewa App kwaajili wa wasomaji wa blog yetu hiyo pia tumetafsir qur-aan katika lugha ya kiswahili tunaomba msaada wa kutengenezewa android app kwaaji ya qur-aan hiyo. Allaah awalipe kheyr
 
Back
Top Bottom