Kwa wajuzi wa iPhone

Kwa wajuzi wa iPhone

Dah hiz simu kwa sisi tuliozoea Android zinatutesa sana..yangu nakaribia kumaliza wik nayo ila duh najitahd ku solve challenges zote nazokutana nazo.
 
Mkuu usihangaike sana kuhusu kupata nyimbo mm huwa natumia app mbili muhimu moja ni document 5 na ifile organizer ni nzur sana zitakusaidia mana unaweza tumia izo ukamtumia hata mtu nyimbo WhatsApp
53d591fbe146f59700ea599e29428143.jpg
 
1. Install iTunes kwenye computer yako, ukifanikiwa ifungue.

2. Connect iPhone yako kwenye hiyo computer, subiri iPhone yako ionekane katika iTunes.

3. Itaonekana pale hebu iclick hiyo alama ya iPhone pale.

4. Kuingiza audio music.. Bonyeza mahala pameandikwa music kwenye iTunes pale then drag music kutoka kwenye computer yako. Na kuingiza Videos utabonyeza Movies na kudrag videos kama hapo juu.

Usihangaike kudownload music au video kutoka iTunes
 
Back
Top Bottom