Kwa wajuzi wa iPhone

Bin Chuma75

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
993
1,065
Habarini wakuu, naombeni msaada wa hii kitu kwenye iPhone, app ya video na music hazifunguki, kila nikifungua inaniandikia cannot connect to iTunes Store! Nifanye vipi ili nifanikiwe kuplay?
2fa64d430e31844792c33f995f38cf19.jpg
059e59a3b6e9d4bbbdd644ab0c99dbd4.jpg
 
simu yako? kama yako kanunue na computer then download app inaitwa itunes then utapata vyote unavyovohitaji,nimekupa mwanga kiufupi,mengine utajiongeza mwenyewe...
 
pia kuna app nyingine simple kutumia inaitwa syncios itakuingizia ukitakacho kwa urahisi zaidi ya itunes,ingawa huwa haifanyi kazi kama hauja'install itunes kwenye computer...
 
simu yako? kama yako kanunue na computer then download app inaitwa itunes then utapata vyote unavyovohitaji,nimekupa mwanga kiufupi,mengine utajiongeza mwenyewe...

Ni mali yangu mkuu, ndio maana natafuta kujua
 
Abaki bongo ila Kama anahitaji nyimbo adownload kwenye computer then azihamishie kwenye simu
 
Kwanini mnanunua vitu Msivyo jua kutumia bakini androd iphone wachieni wamarekani
This is stupid hivi kwani ni lazima utoe ushauri wako?? Km hujui ni bora kukaa kimya tu, na ndomana wameulizwa wenye ujuzi na iPhones!!! We mwenye kujua android tuliza shipa lako ebooooo
 
Back
Top Bottom