Kwa wajuzi nifafanulieni hili

Kwa wajuzi nifafanulieni hili

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,963
Kwa wale wataalamu wa mambo ya kijeshi,

1. Ni vigezo gani / cheo gani kitamfanya mtu awe KOMANDO?

2. Huwa naona Kuna wale POLISI WA JESHI (MP) ambao ndio hutoa adhabu mbali mbali kwa mwanajeshi pindi anapokosea. Je? KOMANDO nao huadhibiwa na nani pindi wakifanya makosa? Au nao huingia mikononi mwa MP?

Uzi tayari.
 
MP anamuwajibisha yeyeto jeshini, wale ni police wa jeshi wako kila kambi, hata komando pale anatulizwa,
 
Kwa wale wataalamu wa mambo ya kijeshi,

1. Ni vigezo gani / cheo gani kitamfanya mtu awe KOMANDO?

2. Huwa naona Kuna wale POLISI WA JESHI (MP) ambao ndio hutoa adhabu mbali mbali kwa mwanajeshi pindi anapokosea. Je? KOMANDO nao huadhibiwa na nani pindi wakifanya makosa? Au nao huingia mikononi mwa MP?

Uzi tayari.

Ndani ya hao MP pia kuna Makomandoo na si hapo tu Makomandoo wapo katika Kila Idara za Kijeshi na hutumika kwa Kazi ' Maalum ' zenye Maslahi makubwa na mapana ya Kiulinzi hasa kwa nchi. Kwa Sheria za Kijeshi MP ndiyo Mwangalizi Mkuu wa Kinidhamu wa Wanajeshi ndiyo maana utaweza kuona hata CDF nae Kiutendaji akikosea anawajibika kwa hao hao MP na akileta za Kuleta hao hao MP wanaweza wakamchenjia na kumuadabisha vile vile. Nina mfano wa tukio moja la MP kumuwajibisha na kumuadabisha Mkuu mmoja hivi ( kwa Unyeti wake na Kimaadili ) naomba nisimtaje japo kwa sasa ameshastaafu katika Kikosi kimoja hivi ambacho kipo katikati ya Mwenge na Bondeni Kawe.

Vigezo vya Mtu kuwa Komando ( Kikosi Maalum ) ni kama vifuatavyo:

Akili kubwa / nyingi
Mkakamavu sana
Mnyumbulifu
Jasiri mno
Katili na Mtu asiye na Mshipa wa Huruma
Mwepesi wa Kujifunza
Mvumilivu na Msiri ( kama utakumbuka katika moja ya Sherehe za Saba Saba nadhani ya mwaka 2016 kuna Makomandoo pale Viwanja vya Maonyesho vya Kilwa Road walisimama kuanzia Saa 12 asubuhi hadi Saa 12 jioni huku wakiwa na Silaha kubwa na nzito wamezibeba na Mgongoni wamebeba Mabegi ambayo kwa taarifa yako tu huwa yanakuwa na Uzito wa Kilo 50 na hakuna aliyetaka sijui kwenda Kukojoa au Kunya na hawakutikisika na kuchezesha Shingo zao huku na kule )

Kama kuna Watu ambao unatakiwa uwaogope na ukae nao mbali sana ni hawa Makomandoo kwani hata Mafunzo yao siyo ya Kujeruhi bali ya Kuangamiza kabisa ( namaanisha Kuua ) tu. Kuna Mmoja nilishawahi Kuelezea Tukio lake alilolifanya huko Yombo ambapo wakati anajihami huku akikimbizwa na Kundi Kubwa la Watu aliweza Kupita katika Mlango wa Chuma uliokuwa umeshindiliwa vizuri na Mwenye Nyumba kiasi kwamba hadi Mwenye Nyumba hiyo alipoambiwa kuwa kuna Mtu kapita nao huo Mlango pale pale akasema kuwa huyo atakuwa si Mtu wa kawaida.

Asubuhi njema.
 
Daaaaah

Nashukuru Sana kwa elimu yako pana Sana uliyonipatia mzee.

Mungu akutunze katika hii dunia , katika jamii, na katika jamii forum.

Ili kwa wenye kutaka kuelewa tuzidi kuelewa mambo.

Ahsanta.
 
Nilipiga nae picha mmoja wa makomandoo hao.hawakuwa wanapepesa macho sana.
 
Daaaaah

Nashukuru Sana kwa elimu yako pana Sana uliyonipatia mzee.

Mungu akutunze katika hii dunia , katika jamii, na katika jamii forum.

Ili kwa wenye kutaka kuelewa tuzidi kuelewa mambo.

Ahsanta.
Alishindwa kupambana hadi akimbie
 
Back
Top Bottom