Kwa wajasiriamali wenye pesa zao, hii ni fursa

Mkuu umeandika chenga tupu....hakuna asiyejua nje pesa ipo tatizo ni connection Tu, Nani asiyejua ng'ombe fahari mkubwa kabisa huku unamnunua laki saba , visiwa vya commoro unamuuza mil 3.5, hapa bongo unapewa mshahara wa laki nne Kwa mwez , ulaya unabeba box Kwa sku moja au mbili unakunja hyo laki nne , tatizo linakuja connection mkuu.... Mi nikipata mwenyeji Sweden hata leo naamsha, nauli na kila kitu changu ,.....
 
DUA
 
Mwenye connection ya biashara nje aje tuongee Nina access ya kupata mizigo tofauti maeneo tofauti kama sabuni za unga ngano mafuta na vitu vingine
 
Biashara ya mchele kwa dodoma, cjawahi ifanya labda kwa dar, japo nako kuna ubabaishaji mwingi sana kutoka kwa wenye maghara yao!!mchele ni biashara nzuri sana kama utapata soko la uhakika, mwaka mmoja tu watu wataweza kuhisi labda unauza unga!!na masoko mazuri yapo nje ya nchi shida yanahitaji mtajo mkubwa sana!!ila kwa wenye nao ni kuokoto pesa tu.mazao mengine kama mahindi hasara ni ya kugusa tu kwani kuyahifadhi ni gharama nyingine tena!!kama una mtaji wa kutosha ndugu hii ni biashara nzuri mno, ukapata masoko umemaliza
Mkuu naomba uongeze nyama kidogo huko nchi za nje unamaanisha nchi gani?
 
Mkuu umeandika chenga tupu....hakuna asiyejua nje pesa ipo tatizo ni connection Tu, Nani asiyejua ng'ombe fahari mkubwa kabisa huku unamnunua laki saba , visiwa vya commoro unamuuza mil 3.5, hapa bongo unapewa mshahara wa laki nne Kwa mwez , ulaya unabeba box Kwa sku moja au mbili unakunja hyo laki nne , tatizo linakuja connection mkuu.... Mi nikipata mwenyeji Sweden hata leo naamsha, nauli na kila kitu changu ,.....
Ishu ya Comoro umenikumbusha mbali sana....baada ya stori za mtaani nikapata connection ya comoro , nikapata deal ya kupeleka ng'ombe...nikaanzia kupeleka ng'ombe kama mia mbili hivi......baada ya mzigo kufika kwa mbinde sana....nikamkabidhi mzigo mwenyeji wangu kwa kuaminishwa na ofisi za ubalozi za kule....du baada ya hapo zikaanza chenga za kufa mtu mpaka nikaishiwa nikarudi TZ nikiwa nimeshafilisika...ikabaki kesi isiyoisha mpaka leo.....nakumbuka kipindi kile tatizo lilikuwa mfumo wa kibenki ulikuwa haungiliani kwa hiyo hakuna cha LC wala bank guarantee yeyote kwa hiyo ikala kwangu
 
Pole sana mkuu ng'ombe mia mbili si milion 100+ bado usafirishaji.
 
Mkuu umeandika chenga tupu....hakuna asiyejua nje pesa ipo tatizo ni connection Tu, Nani asiyejua ng'ombe fahari mkubwa kabisa huku unamnunua laki saba , visiwa vya commoro unamuuza mil 3.5, hapa bongo unapewa mshahara wa laki nne Kwa mwez , ulaya unabeba box Kwa sku moja au mbili unakunja hyo laki nne , tatizo linakuja connection mkuu.... Mi nikipata mwenyeji Sweden hata leo naamsha, nauli na kila kitu changu ,.....
Hayo ni maneno ya simulizi tu za vijiweni!!kupitia kwa wale wanaojiita wahamasishaji, lakini ingia uone, eti comoro ng'ombe anauzwa milioni 3.5!!!nenda kichwa kichwa ukaone!!mimi ninazungumzia kitu ninachokifanya, sio kila nchi za nje kuna fulsa hususani za ki biashara, nenda burundi, malawi uniambie kuna biashara gani unaweza itoa TZ, ukapeleka kule na ukauza kwa bei nzuri, sasa kama ni mfuasi wa simulizi kama wewe huwezi ona hilo.waulize watanzania waliokuwa wanafanya biashara ya kupeleka maharage COMORO, kiliwakuta nini huko, watu kidogo warudi kwa kupiga mbizi baharini!!mambo ya mishahara hayo yanajulikana kuwa malipo ya ulayw ni tofauti na huku, kwanza kutokana na gharama ya maisha!!unaweza lipwa milioni tano lakini ukaishi maisha sawa na mgambo wa anayelinda ofisi za halimashauri ya tandahimba, kwa thamani ya hiyo pesa!!FULSA za biashara ni tofuti.
 
Mkuu mbna umenishambulia Sana , tuliza kichwa Kwanza Bro ndo uelewe mantiki ya kile nilichokisemea , .....hata hapa bongo tu kuna factor lazima ziwe constant ndo umake hela , kishapu mbuzi beberu mkubwa kabisa anauzwa 60K wakat Buguruni anauzwa mpak 110K ... Kama chain yako ipo poor organized hufiki popote, kuna watu wana watu wao tayar kazi yake ni kukusanya na system yote ipo well organized ,kuanzia anapochukulia mzigo , barabarani , transportation mpak destination ..... Sasa wewe kurupuka uone

Wakat mwingine ni biashara za wakubwa , wanajiwekea exemption ya barrier ambazo mtu wa kawaida anakumbana nazo na zinamtoa Kwenye reli chap.....

Comoro watu wanapiga hela cha Msingi chain yako iwe well organized , vinginezvyo utakumbana na changamoto mpak ukimbie, umezungumzia msumbiji , sjui Congo , kwako ni ngumu lakn mtu kama Mo , Bakhresa , wanapeleka bidhaa kule daily malori yanapishana ,we unafkr wamekrupuka ni kuwa connection ipo imara .......

We hujiulizi Kwa nn machungwa ya mheza mkenya anayanunua Kwa sh 100 af anapakage anayashift to Europe anapiga super profit unafkr amekrupukaaaa?? Au unafkr wakulima na wafanya biashara wa mheza hawajui?? They know but the problem is how to start .....

Kuna msimu matikiti DSM huwa yanauzwa mpak 5000 tikiti moja ,wakat tikiti kama hlo shambani Iringa ni 1000 ,sasa kurupuka uyalete bila mchongo kama hayajakuozea au kuuza Kwa bei ya chini.....
 
Kiongozi labda niulize swali kidogo juu ya biashara ya tangawizi nje ya tanzania kwa experience uliyo nayo wewe.
Nilikuwa nimepata connection zambia kunakiwanda wanatengeneza pombe za tangawizi sasa bei wanayochukua niliona sio nzuri kivile, katika kujaribu jaribu kutafuta soko kwengine nikapata south africa.
Hapo south naona kuna super profit sasa connection kwangu imekuwa changamoto kwa kweli. Kwa experience uliyo nayo kwa mchele, vipi unaweza nipa mwanga kidogo maana sina a wala b juu ya ufanyaji wa hii biashara maana naielewa sana kwa kweli
 
Ki ukweli unapotaka kufanya biashara, hasa za nje ya nchi, ni vizuri kwanza, ukalifanyia utafiti, soko lako, tena ikibidi nenda ukajiridhishe namna ya biashara inavyofanyika, na changamoto zilizopo, japo huwezi ukazikwepa zote, lakini, ni vizuri kuzipunguza!!halafu kwenye biashara nyingi za siku hizi, unachotakiwa kuangalia kwanza ni MZUNGUKO wa hiyo biashara, kuna masoko mengine , faida sio kubwa sana, lakini mzunguko wake ni mkubwa sana kiasi kwamba lazima tu utapata faida kubwa kwa muda mfupi!!unaweza ukatafuta soko lenye SUPER PROFIT, lakini mzunguko wake ni mdogo sana!!tatizi la biashara kwa sasa ndani ya TZ, ni purchasing power kuwa ndogo sana, ndio maana biashara nyingi zinasua sua!!Kwa ushauri wangu, zambia ni karibu ungejaribu kupeleka hata mala moja kwanza, pale pale, ungeweza kuanza kupata A, B, C, za soko, la jingine, hata la botswana, hadi south!!
 
Ishu ya Comoro umenikumbusha mbali sana....baada ya stori za mtaani nikapata connection ya comoro , nikapata deal ya kupeleka ng'ombe...nikaanzia kupeleka ng'ombe kama mia mbili hivi......baada ya mzigo kufika kwa mbinde sana....nikamkabidhi mzigo mwenyeji wangu kwa kuaminishwa na ofisi za ubalozi za kule....du baada ya hapo zikaanza chenga za kufa mtu mpaka nikaishiwa nikarudi TZ nikiwa nimeshafilisika...ikabaki kesi isiyoisha mpaka leo.....nakumbuka kipindi kile tatizo lilikuwa mfumo wa kibenki ulikuwa haungiliani kwa hiyo hakuna cha LC wala bank guarantee yeyote kwa hiyo ikala kwangu
Vipi bei za kuuzia kwa kule, zinazosemwa huku kuwa ni 3m> ni za kweli?
 
Ni
Ki ukweli unapotaka kufanya biashara, hasa za nje ya nchi, ni vizuri kwanza, ukalifanyia utafiti, soko lako, tena ikibidi nenda ukajiridhishe namna ya biashara inavyofanyika, na changamoto zilizopo, japo huwezi ukazikwepa zote, lakini, ni vizuri kuzipunguza!!halafu kwenye biashara nyingi za siku hizi, unachotakiwa kuangalia kwanza ni MZUNGUKO wa hiyo biashara, kuna masoko mengine , faida sio kubwa sana, lakini mzunguko wake ni mkubwa sana kiasi kwamba lazima tu utapata faida kubwa kwa muda mfupi!!unaweza ukatafuta soko lenye SUPER PROFIT, lakini mzunguko wake ni mdogo sana!!tatizi la biashara kwa sasa ndani ya TZ, ni purchasing power kuwa ndogo sana, ndio maana biashara nyingi zinasua sua!!Kwa ushauri wangu, zambia ni karibu ungejaribu kupeleka hata mala moja kwanza, pale pale, ungeweza kuanza kupata A, B, C, za soko, la jingine, hata la botswana, hadi south!!
Nimekupata vyema kiongozi wangu nitarudi kutoa mrejesho hapa nitakapo anza msimu ukianza
 
Mwenye connection ya biashara nje aje tuongee Nina access ya kupata mizigo tofauti maeneo tofauti kama sabuni za unga ngano mafuta na vitu vingine
Kuna linki ningetuma hapa ila mods watanilamba Ban

Kule kuna wanunuzi mnajadili tu biashara
 
Mkuu mbna umenishambulia Sana , tuliza kichwa Kwanza Bro ndo uelewe mantiki ya kile nilichokisemea , .....hata hapa bongo tu kuna factor lazima ziwe constant ndo umake hela , kishapu mbuzi beberu mkubwa kabisa anauzwa 60K wakat Buguruni anauzwa mpak 110K ... Kama chain yako ipo poor organized hufiki popote, kuna watu wana watu wao tayar kazi yake ni kukusanya na system yote ipo well organized ,kuanzia anapochukulia mzigo , barabarani , transportation mpak destination ..... Sasa wewe kurupuka uone

Wakat mwingine ni biashara za wakubwa , wanajiwekea exemption ya barrier ambazo mtu wa kawaida anakumbana nazo na zinamtoa Kwenye reli chap.....

Comoro watu wanapiga hela cha Msingi chain yako iwe well organized , vinginezvyo utakumbana na changamoto mpak ukimbie, umezungumzia msumbiji , sjui Congo , kwako ni ngumu lakn mtu kama Mo , Bakhresa , wanapeleka bidhaa kule daily malori yanapishana ,we unafkr wamekrupuka ni kuwa connection ipo imara .......

We hujiulizi Kwa nn machungwa ya mheza mkenya anayanunua Kwa sh 100 af anapakage anayashift to Europe anapiga super profit unafkr amekrupukaaaa?? Au unafkr wakulima na wafanya biashara wa mheza hawajui?? They know but the problem is how to start .....

Kuna msimu matikiti DSM huwa yanauzwa mpak 5000 tikiti moja ,wakat tikiti kama hlo shambani Iringa ni 1000 ,sasa kurupuka uyalete bila mchongo kama hayajakuozea au kuuza Kwa bei ya chini.....
Mkuu wewe ni mtu wa procurement and supply?
 
Back
Top Bottom