KWA WAIMBAJI WA MKOPO ELIMU YA JUU

KWA WAIMBAJI WA MKOPO ELIMU YA JUU

newbiee01

Senior Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
100
Reaction score
23
Habar ndug zang naombbkufaha kwa wale mlioomb mkopo je account zenu zinafunguka make account yangu aifunguki na wala cjapata mkopo ci kwambnmesahau password wala na je bach bado zna endelea
 
Screenshot_20181120-075007.png
inaandka iv
 
Nadhan batch ya mwisho ni ya 5 cuz yamebaki majina yasiyozidi 3700 kulingana na bajeti na idadi iliyopangwa kutolewa kwa first yr students wa mwaka huu! Baada ya hapo kuna rufaa..hvyo kama umekosa round zote ni vizur kukata rufaa maana unaeza pata na sio kulalamika maana haisaidii chochote!!
 
wameshafungua dirisha LA kukata rufaaa and waingie kwenye account zaoo wataona pia kuna maelekezoo yapoo ya kljinsii ya kukaa rufaa
 
Waimbaji watakuja hapa... waombaji wao wako vyuoni ss..
 
Back
Top Bottom