Wanafunzi wenye sifa tajwa au Div. IV ya 34 na kuendelea:
1. Wahitimu sifa tajwa wanaalikwa na Kituo cha Elimu cha Utawala-Hombolo kujiunga na masomo ya mwaka 1.
2. Wakimaliza masomo watapata sifa za kujiunga na elimu ya astashahada katika vyuo vya NACTE.
3. Hii itasaidia wadogo zetu kutobaki mitaani au kurisiti mitihani bila tija.
Jaribu kutembelea www.gec-hombolo.ac.tz kwa maelezo zaidi.