Kwa wagombea Urais 2020 : kura zaidi ya laki mbili hizi hapa...

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
Kuna hili jimbo lenye kura laki 2 za bure kabisa bila kutumia jasho jingi.

Jimbo hili limetelekezwa toka 2015,

Wananchi wake wanasononeka na kunung'unika.

Naona hata Tundu Lisu kwenye hotuba yake amesahau hili Jimbo.

Ikumbukwe hizi kura zaidi ya laki mbili zinaweza kuongezeka kutokana na undugu wa wananchi na majimbo mengine...

Ni miaka 5 au sita sasa wafanyakazi wamechinjiwa baharini.

HATA ile nyongeza ya mwaka ya kisheria haipo.

Walioajiriwa 2014/2015/2016
Bado wana mishahara Ile Ile.

Hakuna mtu wa kuwasemea..

Bila shaka hizi kura zipo wazi kabisa kwa mgombea atakayeahidi Jambo...katika wananchi wa jimbo hili...

Karibuni jimboni kwetu...
 
Mkuu kwani hujui wafanyakaz wanapiga cku moja kabla au kura zote za wafanyakaz zitakua controlled
 
Kuna hili jimbo lenye kura laki 2 za bure kabisa bila kutumia jasho jingi.

Jimbo hili limetelekezwa toka 2015,

Wananchi wake wanasononeka na kunung'unika.

Naona hata Tundu Lisu kwenye hotuba yake amesahau hili Jimbo.

Ikumbukwe hizi kura zaidi ya laki mbili zinaweza kuongezeka kutokana na undugu wa wananchi na majimbo mengine...

Ni miaka 5 au sita sasa wafanyakazi wamechinjiwa baharini.

HATA ile nyongeza ya mwaka ya kisheria haipo.

Walioajiriwa 2014/2015/2016
Bado wana mishahara Ile Ile.

Hakuna mtu wa kuwasemea..

Bila shaka hizi kura zipo wazi kabisa kwa mgombea atakayeahidi Jambo...katika wananchi wa jimbo hili...

Karibuni jimboni kwetu...
Uko sawa kabisa kiongozi
 
Hapo kwa Mwenyezi Mungu, tupo wengi tunaomba sana atujibu
nimeipenda hiyo Kauli Mkuu
lkn liCHAMA bado lipo usifikiri waliopandikizwa utawaondoa wote na mizizi yao
pia hakuna Chama cha upinzani kitasogelea hata jikoni
safari bado ndefu, hakuna mtu wa kushtakiwa tena kwa makosa yoyote hata wakiongeza kutawala maisha
Burundi wameshajiwekea Sheria hii
 
Back
Top Bottom