mwenye macho haambiwi tazama. hivi huoni waKenya walivyopiga hatua? tuwape heshima ndugu zetu waKenya kwa kuwa mfano mwema Afrika Mashariki na Afrika nzima kwa ujumlaUlicho kilenga nini haswa!!
hizo picha uchwara zinahusiana nini haswa!!
Ndugu zenu wakenya!!mwenye macho haambiwi tazama. hivi huoni waKenya walivyopiga hatua? tuwape heshima ndugu zetu waKenya kwa kuwa mfano mwema Afrika Mashariki na Afrika nzima kwa ujumla
Haina shida. Sasa tuambie Tanzania inajulikana kwa kuleta nini ya maana katika dunia hiliHalafu hapo hapo inabidi kuagiza chakula toka Israel, Mexico, Tanzania, South Africa.... Unauza kuku ndio ununue mayai.
Helium gas.Haina shida. Sasa tuambie Tanzania inajulikana kwa kuleta nini ya maana katika dunia hili
Sasa unaona makosa ni gani? Mnajulikana na madini yaliyo vitu tu vya maumbile. Nauliza kuna teknolijia gani ama mchezo etc zinazofanya tanzania itambulike dunianiHelium gas.
Tanzanian low-cost water filter wins innovation prize - BBC NewsSasa unaona makosa ni gani? Mnajulikana na madini yaliyo vitu tu vya maumbile. Nauliza kuna teknolijia gani ama mchezo etc zinazofanya tanzania itambulike duniani
Kenya aims to become the next global center of Islamic finance
East Africa’s biggest economy is positioning itself to become a regional hub for Islamic finance products. Kenya’s treasury ministry recently unveiled a plan to mainstream Islamic financing as part of an effort to stimulate economic growth, and to help set the sector up as a source of development funding
Finance minister Henry Rotich said on March 30 that the government would propose amendments to the financial laws and issue new regulations to facilitate a Sharia-compliant retirement benefits scheme. It will also amend the public finance management act to provide for the issuance of sukuk, or Islamic bonds.
Islamic finance is based on profit-sharing, and prohibits the collection and payment of interest, or usury. The two-trillion dollar global Islamic finance industry has grown as a mechanism for financing development, including in non-Muslim countries.
Some 11% of Kenya’s 44 million people are counted as Muslim. But in the past, Kenyan regulators have noted that it was “hard” to convince lawmakers of the Islamic finance industry’s potential—especially while the government was battling the jihadist fundamentalist group al-Shabaab. Since invading Somalia in 2011, al-Shabaab has targeted Christians in buses, attacked churches, stormed an upscale shopping mall, and killed 147 people at a university.
Regulatory agencies say Kenya is now ready to allow Islamic finance and banking to thrive. Speaking at the second annual East Africa Islamic Economy Summit on April 11, Paul Muthaura, the chief executive officer of the Capital Markets Authority, said the country plans to make Kenya a hub for Islamic finance.
Kenya is already a regional leader in Islamic banking. The country has two fully-operating Islamic banks, with a third one being authorized. There’s also one takaful Islamic insurance company, a sharia-compliant mutual fund, and two cooperatives. In December, Kenya joined the Islamic Financial Services Board, a Malaysia-based body that regulates and promotes sound and transparent Islamic financial services globally.
Kenya’s banking industry has faced challenges in the recent past, with some banks folding or merging with others to survive. Legislation capping interest rates is also reportedly making it harder for banks to access loans or credit.
Halafu hapo hapo inabidi kuagiza chakula toka Israel, Mexico, Tanzania, South Africa.... Unauza kuku ndio ununue mayai.
Sema mahindi tu. Ni chakula gani tena tunaagiza!Halafu hapo hapo inabidi kuagiza chakula toka Israel, Mexico, Tanzania, South Africa.... Unauza kuku ndio ununue mayai.
Mahindi, sukari, ngano, mchele na kiswahili [emoji23]Sema mahindi tu. Ni chakula gani tena tunaagiza!
Hakuna ubishi...Ndio tunaagiza mahindi kwa sababu hizi
- Hela tunazo na uwezo tunao
- Nchi yetu asilimia 80% ni kame
Nyie pamoja na liinchi lenu lote hilo lenye rotuba kila mahali bila eneo kame hata moja mbona kuna wakati huwa mnaagiza mahindi kutoka Zambia, mumelaaniwa kwa uzembe na uvivu wa kufa mtu Tanzania Imports from Zambia of Corn (maize)
Hivi umeisoma hiyo taarifa yote au umepitisha macho kwenye kichwa cha habari? Soma tena uelewe chakula kipo, maghala ya serikali yana chakula. Hakuna Mtanzania ata kufa kwa njaa. Tanzania sio Kenya.Wakati huo hiyo hiyo Tanzania nchi kubwa yenye rotuba kila mahali yenye madini ya kila aina yenye raslimali zaidi ya nchi zote Afrika yenye amani bila kuwahi kuwa na ugomvi wa kindani yenye vivutio bora vya utalii zaidi ya nchi zote Afrika ndio hiyo hiyo yenye watu wake wanaoishi kwenye mji mkuu Dodoma wanakula viwavi kukabili njaa Wala viwavi jeshi kuikabili njaa