Titty
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 571
- 912
Kumetokea matukio mengi tangu matokeo ya form iv yatoke. Hayakua mazuri kiujumla especially kwa shule zetu za kawaida
Naona watu wengi wamejisahau pamoja na viongozi.
Kuna vitu vingi vyakujadili vyenye tija kuliko mambo yanaoendelea sahivi. Hakuna mdau aliyejitokeza kulizungumzia. Ikumbukwe katika 10 bora kidato cha nne hakuna shule ya serikali. Na kumi la mwisho zote zilikua shule za selikali.
Wadau mko wapi kujua tatizo nini. Huenda kulikua matatizo kama haya;
1. Waalimu kupewa mishahara midogo na kutokumpandisha daraja
2. Kukosa vitabu mashuleni
3. Kutokuwepo ushilikiano baina ya walimu wazazi na wanafunzi.
4. Kushindwa kuthibiti nitham katika shule zetu. Mfano mwanafunzi anaweza asiuthulie masomo kwa miezi sita aje kufanya mitihani au kumtukana mwalimu asifukuzwe au kwathibiwa.
5. Umbali washule na makazi yawanafunzi
Naomba kila mtu kwanafasi yake achukue jukumu lake kuliko kuegemea katika mada moja tu. Lasivyo baada ya miaka 10 sijui elimu yetu itakua imefika wapi.
Nachukua nafasi hii kumpongeza mama Halima mkuu wa mkoa wa Mtwara alijitokeza TV1 kuzungumzia changamoto za mkoa wake kufeli formm 2.
Na akaweka mikakati. Sasa wengine mko wapi? Tusaidiane katika hili.