Kwa wadau wa makulaji

Huwa napenda pia tafuna tafuna njiani hasa nikiwa private car. Nakulaga apple Au korosho na wakati mwingine karanga.

Heri ako unasafiri na hio private car, mi sijui hata inafananaje...
 
Kaka Mphamvu tutafutane weekend moja twende tukabonde urojo na juice ya tende ilala...au twende hata coco beach au uwanja wa nyumbani msasani mkabala na kkkt tukafanye mchakato.. huwa najisogezaga sana kkwenye hayo mambo...ndio kaugonjwa kangu hako ...
 
Last edited by a moderator:

Leo kama vepeh...
 
Last edited by a moderator:
Watu wanaopenda kulaga hovyoo..huwaga wakitoa ushuzii unanuuuuka...
 
Back
Top Bottom