johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,638
Malumbano ya hoja ni kipindi kinachojadili uchumi, siasa na michezo pale ITV. Nawajulisha wadau wajumbe wafuatao wamepita kura za maoni:
Aweda(CDM Mbulu), Asenga(CCM Ulanga), Kunambi(CCM Malinyi) na Marcus(CDM Moro mjini).Nitawaletea majina zaidi pindi niyapatapo na tuwatakie uchaguzi mwema come october.
Malumbano kuhamia mjengoni
Asante!