Kwa wadau naomba jua namna ya kuichakachua modem?

WJN

Member
Nov 6, 2010
54
0
Salaam wana jf? Naitaji kununua modem ya pc, sasa kwanza nahitaji jua je ni kampuni hipi ya simu hapa nchini wanauza modem nzuri?je ni zain,zantel,tigo,voda, au ttcl? Na namna gani mtu unaweza ukaichakachua modem ili iweze kutumia mtandao zaidi ya mmoja?
 
CalvinPower

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
1,552
2,000
Nunua ya Zain ni rahisi kuchakachua maana zote ni huawei Ila Voda wana huawei na Zte tatizo linakuja vyenye hiyo Zte ni ngumu sana kuchakachua. Tukija kwenye tarifs Zain unalipa 2500 unapata 400mb WCDMA/HSPDA ambayo ni 3G. Voda shiling 2000 unapata 50mb WCMA/HSPDA ambayo no 3G. Sasa sijui ni kwanini Zain wameshusha hivi, may be walikosea sasa wasijeona post hii halafu wakaenda kurekebisha na kupandisha maana tutahama wote.
 
asante pia calvinpower kwa kunishauri
 
BinMgen

JF-Expert Member
Jun 18, 2008
1,851
1,250

kwa wale wenye ,TZE modem, baada ya kuichakachua kwa dc unloker dc-unlocker.us unatakiwa ku-download ZTE_MF622 http://rapidshare.com/files/152404752/ZTE_MF622_not_customised_software.zip kisha usingue vodafone icon kama itafunguka i-close kabisaaa, fungua MF622 icon. enjoy! mimi naitumia TZE K3565-z kwa ZAIN, ZANTEL hakuna kisichowezekana!
 
WJN

Member
Nov 6, 2010
54
0

BinMgen

JF-Expert Member
Jun 18, 2008
1,851
1,250
vp hiyo TZE yako inakubali hata kwa tigo pia? au ni zain na zantel tu kama ulivyohainisha hapo juu, binmgen?
lugha yako haipendezi, haionekani kama kweli unataka kujuwa!, Inaonekana umvivu sana newbie!,hata kujaribu unaogopa,mpaka ujaribiwe?. mimi situmii TIGO!!!, kama wewe watumia tigo unakiwa utuambie kama inakubali. nina cho amini ina detect all sim card
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom