Kwa wadada wote, huu ndo ukweli

Kwa wadada wote, huu ndo ukweli

jamani leo tangu asbuhi ni wanawake tuuu tyread kibao.....waacheni wapumue kidg.japo mienendo yao co mizuri watajifunza.

haina mapumziko hii,hapa ni moja juu ya nyingine
 
Kabisa mkuu kuna Mmeru mmoja ni mdada nilikutana nae katika mahusiano....kweli huyu alipewa beuty without brain wala sio praivet part zake zilisafa....ila mm ndo nimesafa nina week sasa najuta kumjua.......

aisee kwa hiyo na zako zimesuffer?umeshaanza kutumia dozi?
 
sasa shemeji mbona mmezidi kutusema wameru?
 
sasa shemeji mbona mmezidi kutusema wameru?

Hapana mkuu sio kwamba nawasema kwa ubaya......ila alichonifanya mdada huyu ningejua kama yuko hivi nathubutu kusema ata nisingejaribu mwambia nakupenda.....Mungu tu anipe moyo wa huruma juu yake.
 
aisee kwa hiyo na zako zimesuffer?umeshaanza kutumia dozi?

Bora angenifanya nianze tumia dozi...mana haka kaugonjwa hakatuogopeshi tena......kama unabisha kumbuka msululu wa loliondo kwa babu.....kitendo alichonifanya ndo najutia kumfahamu.....Wameru si watu hasa wadada.
 
duh, mbona kama wamenywea aisee, maana jana jioni kuna uzi fulani jamaa aliwachokoza kidogo wakawa wanashambulia kama nyuki, ndani ya nusu saa replies 200+, sasa natamani nione majibu yao hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom