Kwa wadada wenzangu: tuwe makini na aina hii ya wanaume.......

naomba utafautishe baina ya mpenzi na waiter. khaa! na ma vitunguu tena?

shalobaro utalijua tu....we wataka kuja kula tu kuleta huleti.....ukiona vinang'aa ukavipenda ujue vimeundwa....Lizzy kama nilivyokufundisha...hakuhudumii kwa matunzo kick him out.....
 
nina hakika nikikwambia na log out utaniambia nisitoke. michelle wewe unafaa kuekti mke wa starring mchezo wa kihindi. unapatia kweli walahi

mtu wa pili leo...Susy kasema nafaa kuwa comedian....wewe wasema nafaa kuwa mke wa starring....nataka wa kuniambia nafaa kuwa mke sasa.....l.o.l................kaz i kweli kweli.....nitafutie basi deal la kuigiza uhindini huko!!
 
shalobaro utalijua tu....we wataka kuja kula tu kuleta huleti.....ukiona vinang'aa ukavipenda ujue vimeundwa....Lizzy kama nilivyokufundisha...hakuhudumii kwa matunzo kick him out.....
i like ur style, unaquote post yangu kumpiga dongo mohammed shossi. una kipaji kweli
 
acha niwasiliane na mke wa manager wa bollywood. consider your request approved. anything else?
 
shalobaro utalijua tu....we wataka kuja kula tu kuleta huleti.....ukiona vinang'aa ukavipenda ujue vimeundwa....Lizzy kama nilivyokufundisha...hakuhudumii kwa matunzo kick him out.....

Kweli Kloro hana ishu dearest!
 
i like ur style, unaquote post yangu kumpiga dongo mohammed shossi. una kipaji kweli

Kloro,nimemwona Maxence kule kwa Shossi ka-delete uchafu wote....sasa mimi sipo....name calling is forbidden here at JF.....
 
usjali wakikuban namimi nahama JF. yaani JF bila michelle ni sawa na matiti bila sidiria. yaani nakusudia itakuwa haiko balance and comfortable.
 
endelea kijidanganya...tutapigwa BAN la mwaka na JF itaendelea tu....!!! mi niko lonely na broke,hapa ndipo panaponipa nafuu ya maisha...usiniponze kabisa Kloro....please.....!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom