Kwa wadada wenzangu: tuwe makini na aina hii ya wanaume.......

ni kweli....unapofuka ila kuna mambo yatakufungua macho tu.....tulishapofuka sana ila kwa tabu tulizopata...tuliona na kusonga mbele macho wazi na masikio....

Pole sana ndugu ila mshukuru mungu kwa hilo kwa kuwa limekufumbua macho.
 
good point.....
but they say attraction is not a choice....

so usiwalaumu sana....

sometimes we fall in love with the wrong people while we know its a mistake....
because atraction is not a choice,it just happens..........[/QUOTE]

so lets say,am attracted to you and you are mistreating me or abusing me....does attraction worth all that sufferings??


FUNNY QUESTION..
SOME PEOPLE CAN BE VERY ADDICTIVE......
UMEWAHI JIULIZA WHY WANAWAKE WENGI HAWATAKI TALAKA HATA KAMA
MUME NI ABUSIVE??????
 
Keyboard isikudanganye my dia, ni kama sharobaro tu

aiseee,nimependa huo mfano wa shalobaro....mutu inatapika cheni kubwaaa,pamba za kutoa nyoka pangoni...kumbe anakula na kulala kwa baba yake au hata godoro hana.....mujini shule jamani...l.o.l
 
FUNNY QUESTION..
SOME PEOPLE CAN BE VERY ADDICTIVE......
UMEWAHI JIULIZA WHY WANAWAKE WENGI HAWATAKI TALAKA HATA KAMA
MUME NI ABUSIVE??????


Nimewahi kujiuliza, na kuwauliza wao....wanadai heshima itashuka,wengine wanasema hawataweza kulea watoto wenyewe,wengine watapata wapi mwingine etc.....we unafikiri kwanini wanabaki kwenye abusive marriage???
 
so wewe ni wale mnaokuja na ahadi kemkem lakini hamumaanishi sio? ukipata hitaji unakula kona eeeh?i doubt this.....:A S 13:
Dada naona haujanielewa...nilikuwa namaaanisha mwanaume yoyote yule lazima uwe na malengo ya mbele ukiwa na mwenzio mtapanga na kuangalia mfanye nini kwa ajili ya maisha yenu ya baadae ikiwa ni pamoja na kukaribisha familia mpya pale mnapopata mtoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom