Kwa wadada wenye magari tu

Wewe na hiyo familia ya huyo rafiki yako mpo karibu sana?
Kila wakati upo nao.

Mkuu Bavaria, ukweli tuko close. We are family friends, tulisoma wote college, na huku mtaani kuna matukio yametuunganisha na kuwa marafiki sana, yaani si ajabu mke wangu anataniana na jamaa yangu au mke wake anataniana na mimi.
 
Last edited by a moderator:
nikikuona nakuangalia!
 
we kweli pia ni zero..mbona huwaambii na wanaume wenye milegezo,ninawakera wanadada pia kuona mimatako ya watu hovyo
 
Mkuu Bavaria, ukweli tuko close. We are family friends, tulisoma wote college, na huku mtaani kuna matukio yametuunganisha na kuwa marafiki sana, yaani si ajabu mke wangu anataniana na jamaa yangu au mke wake anataniana na mimi.

Urafiki wenu hauna mwisho mzuri
 
Usilaumu magharibi, wanaiga Movie za Kibongo!
 
waache wadada .hayo nayo ni mabadiliko .mabadiliko si siasa tu
 
Raha ya binti aendeshe gari huku amevaa sketi fupii huku ikipanda juu mara kwa mara, burudani sana kuangalia
 
Oooiii msitusumbueee... hivi asili ya uvaaji nguo ni ya wapi? sisi waTz na waafrika uvaaji wetu haswa ni upi na dizaini gani?
Acha wivuu kijana na ujue kwenye gari kunajoto na hatutumi AC Kubana matumizi so tunavaa hivyo tupate maheewaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…