Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
NB:Hii mada ni spesho kwa wenye tabia hizo za kutega watu na kujifanya watu wa magharibi.Kumbe kigari chenyewe kahongwa au cha urithi.
Preta, Mbona jibu ni rahisi? Emilias G una gari? Huwezi kuendesha gari na sketi ndefu kiasi cha kuikanyagia. inaweza leta ajrai. Huwezi pia kuendesha gari ukiwa na kiatu cha mchuchumio. Rahisi ni kuvaa min au suruali. sasa tukianza kuwapangia, hilo tatizo. Kumbuka enzi hizi usitake kufurahishwa na mtu asiyekuhusu. Anayemhusu anafurahishwa na hizo min.

Habari za asubuhi?
Niende moja kwa moja kwenye mada,kuna ongezeko kubwa sana la wanawake/wadada kumiliki gari na kuziendesha pia,ni jambo jema kwa kweli.
Ila shida yenu kubwa ni kuvaa vigauni /visketi vifupi sana, inakuwa shida sana pindi mnapotoka kwenye magari yenu, utakuta mdada wa watu anakosa amani na kuanza kukivuka kinguo chake mara kwa mara.
Mimi najiuliza hivyo vinguo vyenu ndio maelekezo mliyopewa wakati wa kupata leseni ya udereva kuwa ni lazima uvae nusu uchi ili uonekane mjanja au kuonesha kuwa ni dada poa?
Mila na tamaduni zetu za kitanzania, pindi uvaapo na kutoka nje ni lazima uheshimu na wengine,usiwape watu mifadhaiko isiyo na lazima.
NB: Hii mada ni spesho kwa wenye tabia hizo za kutega watu na kujifanya watu wa magharibi. Kumbe kigari chenyewe kahongwa au cha urithi.
Si ndo hapo ebu mwambie huyo,dada wa watu akiwa na matatizo yake humsaidii,aki enjoy life lake maneno kibaoo wakati umebadilika sasa hivi,hamna mda wa kufatilia life style ya mtu tena usiyemjua.
Unataka kujua namiliki gari gani? Anyway sipo hapa kwa ajili ya kujipa kick,mada ni juu ya mavazi kwa akina dada wenye magari,ninachojua mimi ukivaa nguo ndefu ni nzuri kuendesha nayo gari coz inajivuta kwa juu na kubaki size inayotakiwa ila ukivaa kimini na ikijuvuta kwa juu pindi unapokaa kwenye kiti cha dereva huoni kama utamu utaonekana aka.Papuchi? Hii hupelekea shida sana pindi utapokuwa na watu wenye heshima zao ndani ya gari lako huku mapaja yapo njee,chupi lipo nje,tena unaweza kukuta mdada mwenyewe hajanyoa ma..zi,ndio inakuwa shida moja kwa moja! Mkubali tu jamani kuwa hii kitu ni mbaya,japokuwa kila mtu yupo free kuishi atakavyo hapa Tz!!! Mimi nimeshauri tu!!!!
Eti anasingizia mila na desturi zetu...blah! blah! Mila gani hizo unazozijua hapa TZ? Zimenadikwa wapi hizo mila? Makabila zaidi ya 120 tuna mila moja ya kitanzania kweli? Emilias hajajipanga. Siyo kila kinachonkera basi kiwe ni kibaya. Mbona wengine tunanogewa na kuhamia beach kila siku jioni?
Assume uko na dada/mama yako kwenye gari yeye ndio dereva kisha ukaona mapaja yake,chupi yake ilivyovimba u.hi wake wewe utajisikiaje? Au fikiria dada/mama yako akavaa mavazi mafupi/kimini kisha akapata ajali na kutoka nje ya gari yake kuomba msaada na hicho kimini chake watu wengi wenye akili watamchukuliaje kama sio dada poa? Ninacho amini mimi dunia nzima watu wana privacy zao kwenye viungo vya uzazi,kama wewe unataka waendeshe gari wakiwa nusu uchi au uchi kabisa ndio ufurahi,naona anza kwa mfano kwenye familia yako.Beach inafahamika kuwa ni lazima mtu aogelee na mavazi ya wazi ili kukabiliana na nguvu ya maji,je kwenye gari hicho kimini au gauni fupi inasaidia kutokumalizika kwa mafuta au kwenda spidi kali???