Kwa wadada wa chuo natoa dozi



Kuachwa kubaya...!
 
Mapenzi sio umri; siwalaumu mabinti hao wa vyuoni + mabinti wengine wadogo wanaojirusha na watu wazima; naamini mwanzisha mahusiano / mtongozaji ni mwanaume huyo m2 mzima mwenye akili zake zenye mapungufu, asiyejiheshimu na kufanya mambo ya kikubwa na binti anayelingana na watoto wake wa kuzaa.
 
una umri gani? 50 kwa mjini ni sawa iwapo huyo mwenye 50 yrs anakula vizuri, lakini kama anagonga viloba ni babu huyo

nina 31 yrs,mnajidanganya sana vijana, miaka 50 ni yanki tu tena wanakua na akiri ya kiutu uzima hakuna mambo ya kukimbizana kama nyie vijana.
 
50 si unakuwa na wajukuu tayari?still unafanya mambo ya ajabu
 
nina 31 yrs,mnajidanganya sana vijana, miaka 50 ni yanki tu tena wanakua na akiri ya kiutu uzima hakuna mambo ya kukimbizana kama nyie vijana.

Mi m2 mzima ayanda hata wewe kwangu ni mdogo sana ila umri wako unakuruhusu kuwa na mahusiano na 30's, 40's na50's Tunaowaongelea ni wale under 25's kugegedwa na 50's hiyo ndo kidogo imekaa ndivyo sivyo japo mapenzi hayana umri lakini sometimes ...... inachanganya vile.
 

Wapo viongozi muwaonao leo ambao chupi zilikua zinatembea mkononi, mambo haya hayakuanza leo, siri zao tunazijua sie tuliokuwa tunasoma nao, lakini hayo yalipita. tusiwasakame madent, kwani shetani anazeeka?
 

Hapo kwenye Red ilo jasho linanukaje? Ebu nijuze
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…