Kwa wadada tu

Kwa wadada tu

Endeleeni kutoa ujuzi, haya ikiwa humu umevutiwa tu na michango yake, yaani kuna mtu hata sura wala umri wake siujui ila ninavutika kwake acha. kupm naigopa kabisa.
 
mm huwa natabasam na kumwangalia kwa jicho la kumuita tuu ....automatically atajiongeza....na akija namchana live....lol😉🙂🙂
 
Umenkumbusha mwaka juzi nilikuwa naenda lushoto,basi kwenye basi nadhani la Jeingata nilipanda na dada mmoja mkaliz sana na kakamilika kila idara,tulikuwa tumekaa siti tofauti basi ile kumwongelesha akawa anazingua kana kwamba aniju nikapotezea.

Tulipofika mombo jamaa alokaa nae siti moja akashuka basi nikashukuru kimoyo moyo zali limeniangukia,nikahamia siti yake na kuanza kumzingua akaleta nyodo nkaona isiwe tabu.

Tulipoanza kupanda ile milima ya Usambara naona mtu anaanza niongelesha na kunisogelea mara ananikumbatia,kumbe muoga wa milima na kona zile nami kwa uso wa mbuzi nikahama siti.

Hiyo sura mbuzi kweli, nmefurahi sana hadithi yako.
 
Huwa namwangalia kwa jicho la huba km hivi...

Sexiest_African_Women_2010_03.jpg
 
haukumtendea haki ungemwacha aendelee labda ilikuwa ndo njia ya kukuweka mtegoni ile

Umenkumbusha mwaka juzi nilikuwa naenda lushoto,basi kwenye basi nadhani la Jeingata nilipanda na dada mmoja mkaliz sana na kakamilika kila idara,tulikuwa tumekaa siti tofauti basi ile kumwongelesha akawa anazingua kana kwamba aniju nikapotezea.

Tulipofika mombo jamaa alokaa nae siti moja akashuka basi nikashukuru kimoyo moyo zali limeniangukia,nikahamia siti yake na kuanza kumzingua akaleta nyodo nkaona isiwe tabu.

Tulipoanza kupanda ile milima ya Usambara naona mtu anaanza niongelesha na kunisogelea mara ananikumbatia,kumbe muoga wa milima na kona zile nami kwa uso wa mbuzi nikahama siti.
 
yaani mm huwaga namkonyeza kiaina kisha
namwangalia kwa jicho la huba

Hivi dada zetu pale umwonapo mwanaume amekuvutia huwa mnafanya nini kuashiria umevutiwa nae mfano kwenye usafiri wa uuma na nk.

Mimi nikimwona mtoto kanivutia huwa na smile na kumwangalia sana.
 
kama 2po kwenye usafiri i think naweza nkajaribu kuongea naye stor za hapa na pale kama akivutiwa i know he will ask 4 my number na kama yuko single na amevutiwa lazima atanitafuta ..
(ni maoni tu)

nimeipenda hiyo,ebu chukua like.
 
Yan mia huaga natoa ile smile ya kimahabat!dah ngoja nivute picha...ntarudi!
 
Mie hufanya mchanganyiko wa njia zifuatazo...
kumtazama, ku smile, kujifanya naomba msaada kwake kwa kitu kidogo ili kuanzisha conversation mfano mpo wote kituoni (najilainisha kidogo hapo mtoto wakike)... nipo anko samahani naomba unishkie huu mfuko nifunge viatu lol... baada ya hapo namtwanga bonge la tabasam na ahsante....! Unless ni mgumu sana lakini wengi wao wataanzisha mazungumzo after that... saa nyingine namtega tu nione will he take the bait or not... lol ngoja niishie hapa ntarudi
 
muda huo huwa naacha baadh ya viungo vya mwil vifanye kaz yake mf. macho, midomo n.k!
 
Hivi dada zetu pale umwonapo mwanaume amekuvutia huwa mnafanya nini kuashiria umevutiwa nae mfano kwenye usafiri wa uuma na nk.

Mimi nikimwona mtoto kanivutia huwa na smile na kumwangalia sana.
Nitaashiria kwa wangapi? Mi nakaaga kimya tu najisema dah! kitu hicho.
 
Back
Top Bottom