Rapunzel
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,079
- 601
Kama mtu amevutia then yupo karibu na mimi namfuata kwa sura ya upole na tabasamu mwanana kisha namwambia kwa sauti itakayomfanya achanganyikiwe "samahani kaka simu yangu siioni sijuhi nimengusha au nimesahau sehemu pls naomba unibip" kwa vile nitavyomuangalia habishi katu shida yangu namba yake na stori zinaanzia hapo