kwa hiyo nani kati yenu anayetaka mume? wewe au mama yako?ila mama yangu mchagga ntamchanage kuwa nataka kuwa na masai
nani kakwambia mimi mwanaume?........omba radhi.
mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa mume .kuna kaka wa kimasai kakulia hapa arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni administrator wa tour company flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
Kuna wachagga mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
Nikubali kuolewa umasaini niwaache wamarangu? Kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
Umeshawatest wachaga wangapi na wamasai wangapi?mimi shoga shosti!
Wewe mkubali tu huyo mmasai. Wachaga vibamia na pesa zao, masai na mtarimbo wake, inchi 6 na kuendelea.
wewe bigitaria nimesama wanaume hamuhusiki manake mpo kutukandia tu wadada, niwe na mmoja akinipiga chini nianze tena kuweka mitego ntanasa lini au unataka niolewe uzeeni au nikose kabisa wa kunioa? UMBEA TU HI THREAD NI KWA WADADA .
money cant buy love,!!
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
Bigie nawe..ushaonja kidogo nini?Hehehe!Hapo tatizo lipo kwa mwanamke anaetaka kuolewa na mwanaume kwa vile tu ana pesa hata kama hampendi!Mwanaume anaweza kua anampenda kweli bila kujua mwenzake anataka kumATM tu!Zikiisha unadhani huyo mwanamke atafanyaje?Well said!!...........Lakini sasa Lizzy........kwani mwenye hela hawezi kuwa na mapenzi? naona kama uchagga unarudia hapa, especially umarangu.
najaribu kusoma katikati ya mistari ya bidada hapo juu
nani kakwambia mimi mwanaume?........omba radhi.
:msela::msela::A S check_03:okey kumbe wewe ni dada....i see!,bado nakufanyia profiling!!?!:A S 39:
umeshawatest wachaga wangapi na wamasai wangapi?
Duh! Unakuwa una-experience ya kufa mtu......hivi ukitumia sana kitu kinaitwa nini kwa kidhungu? Tf hebu nisaidie hapa
kula kona mbaba mbea
pesa kidogo lazma hamna zerozero mtoto akiugua itakuwaje, bodi ya mikopo ikigoma atasomaje university au unajisemea tu.
Hivi vitoto vinachosha jamani
Umeshawatest wachaga wangapi na wamasai wangapi?
duh! unakuwa una-experience ya kufa mtu......hivi ukitumia sana kitu kinaitwa nini kwa kidhungu? TF hebu nisaidie hapa
Sio tukumbuke pesa ni muhimu katika maisha kwani nani hajui hilo banaa, wewe sema unapenda pesa acha kutuzuga hapa banaaa