Kwa wadada tu wakaka hamuhusiki hapa

mimi shoga shosti!
Wewe mkubali tu huyo mmasai. Wachaga vibamia na pesa zao, masai na mtarimbo wake, inchi 6 na kuendelea
.
 
mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa mume .kuna kaka wa kimasai kakulia hapa arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni administrator wa tour company flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
Kuna wachagga mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
Nikubali kuolewa umasaini niwaache wamarangu? Kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.

wakubali wote.
 
mimi shoga shosti!
Wewe mkubali tu huyo mmasai. Wachaga vibamia na pesa zao, masai na mtarimbo wake, inchi 6 na kuendelea
.
Umeshawatest wachaga wangapi na wamasai wangapi?
duh! unakuwa una-experience ya kufa mtu......hivi ukitumia sana kitu kinaitwa nini kwa kidhungu? TF hebu nisaidie hapa
 
wewe bigitaria nimesama wanaume hamuhusiki manake mpo kutukandia tu wadada, niwe na mmoja akinipiga chini nianze tena kuweka mitego ntanasa lini au unataka niolewe uzeeni au nikose kabisa wa kunioa? UMBEA TU HI THREAD NI KWA WADADA .

Kwani umeambiwa kuna JF YA WADADA hapa we vipi umeingia leo unataka kujifanya mjuaji kama chumvi ya kigoma
 
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.

Kama umeweza kuwapanga, wakati wa uchumba sioni tatizo utashindwaje kuwapanga wakati wa ndoa!,mmoja anakuwa mumeo kipenzi na mwingine anakuwa buzi lako....maisha yanasonga!!!.......yakibumburuka may be ndio utajifunza kuwa na mmoja:smile-big:
 
Mmmm, usiwaweke wakaka njia panda bwana, amua kimoja.
Na katika hili mi naamini mshauri wa mtu ni moyo wake mwenyewe.

Huku ukimshikrikisha Mungu. Lakini usiwapange wa kaka hivo.
Karibu JF mama.
 
Well said!!...........Lakini sasa Lizzy........kwani mwenye hela hawezi kuwa na mapenzi? naona kama uchagga unarudia hapa, especially umarangu.
najaribu kusoma katikati ya mistari ya bidada hapo juu
Bigie nawe..ushaonja kidogo nini?Hehehe!Hapo tatizo lipo kwa mwanamke anaetaka kuolewa na mwanaume kwa vile tu ana pesa hata kama hampendi!Mwanaume anaweza kua anampenda kweli bila kujua mwenzake anataka kumATM tu!Zikiisha unadhani huyo mwanamke atafanyaje?
 
Umeshawatest wachaga wangapi na wamasai wangapi?
duh! unakuwa una-experience ya kufa mtu......hivi ukitumia sana kitu kinaitwa nini kwa kidhungu? TF hebu nisaidie hapa

Wachaga 65
Wamasai 41
Jumla 106
 
Back
Top Bottom