The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
kawaulize dada au shangazi zako kama kabla ya kuolewa walikuwa na mmoja and the only mmoja.wakaka mnajiona wajanja mnazungukwa ile ni aje, cha muhimu mdada usikubali kumegwa na wawili kipindi kimoja.ukiwa na JAMES usimegwe na kimaro ila muweke standby
we mkali
hashy i can see you are being a good artist
Sasa kama hawana maana unawataka wa nini?NACHEZA KIJANJA WANAUME HAMNA MAANA
[/B]
elewa wewe chimunguru, ninamahusiano katika levo tofauti na hao wakaka hata masai mwenyewe bado sijampa ishu.NACHEZA KIJANJA WANAUME HAMNA MAANA
that was my point hashy,kuwa ana mchumba,ila hana uhusiano wa kimapenzi na hao wengine......
Nilimuelewa sahihi!!! Marytina,usiangalie sana hela,riziki hupanga mungu na maisha yako na watoto,huyo mmarangu anaweza kukuoa na akafa asiweze hata kulipia watoto ada,jijenge binafsi,mtegemee mungu,jikabidhi unakopendwa na kupenda,utakuwa na amani.ndo ushauri wangu!!!
Sasa kama hawana maana unawataka wa nini?
sasa kama hawana maana unawataka wa nini?
elewa wewe chimunguru, ninamahusiano katika levo tofauti na hao wakaka hata masai mwenyewe bado sijampa ishu.NACHEZA KIJANJA WANAUME HAMNA MAANA
jikalie tu kama mimi,kama unaelekea kwenye ndoa na binadamu unayemuona hana maana,unapoteza muda wako.....
Ndo mnafika huko wiki mbili tatu mnaleta majibu kama haya mnavunja ndoa,in short bado maturity yako ni ndogo,unatafuta majibu mepesi kwenye maswali magumu,ukipewa huelewi......am done!!!!
hivi mnawezaje kuhandle MINJEMBA mitano kwenye life moja?
anawataka wamsomeshee mtoto wake yunivasiti bila msaada wa loni bodi
badilisha kichwa cha sredi ili upate ushauri wa profesor klorokwini adhawaizi prepare to fail in your mission.
Halafu ana mkataba na Mungu, kwamba huyo mtu ataishi adi watoto wakue awasomeshe!!
Nimemsomesha naona hata hataki kunielewa!Anataka vyote ngoja akose vyote!Lizzy hebu ongea na huyu mdogo wako banaa
Sijawahi kuwa hata na wawili kwa mara moja,nafikiri yeye anaweza kukujibu......
sijawahi kuwa hata na wawili kwa mara moja,nafikiri yeye anaweza kukujibu......
thats my girl!
Ha ha ha ha sijui kama kaiona hii
WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
Kama hawana maana sidhani kama wataliweza hilo!Na hao watoto hawawezi kumpa vilevile kwahiyo atulie tu mpaka atakapopata mwenye maana!anawataka wamsomeshee mtoto wake yunivasiti bila msaada wa loni bodi