ukweli ndio huo wadada hatutakubali kuwa na mmoja, hata akiwa mmoja lazma wengine wawe standby ili kikiwaka upate pa kuhemea fasta
ukicheche wake uko wapi??
Amesema kila mmoja kwenye level tofauti za mapenzi ili mmoja aje kuwa mume,hajasema wote wana status moja kwenye maisha yake??
Ukimaliza kupembua,olewa my dear na yule moyo utakayeridhia,usiangalie sana pesa ukachukua misukule,ukishaapa naomba utulie na ninakutakia baraka tele!
marytina,si wote my dear tuko hivyo,wengine mmoja akiondoka,tunasubiri tupone vidonda,na kupumzika kwa muda kabla ya kuanza uhusiano mwingine......😛lane:
WAMAMA WOTE WANATAMANI MABINTI tuolewe kwao, kaa kimya kama ni mkaka.HAPA ARUSHA wadada tunataman sana chagga for ndoa, ila huyu MASAI ana hekima za kizidi
ah ah ah Vous ne savez pas si invisible est à l'aise avec le français! Vous serez interdit en quelques minutes!
wamarangu nawazimia kikweli ila MUNGU AMEWAPA KILEMA CHA BIA,jioni MACHALII WANAKUNYWA ARUSHA wanaself drive kwenda marangu eti BIA ZA ARUSHA zinakata stimu nataka ninywe nkiwa MARANGU MTONI,asubuhi saa mmoja YUPO ARUSHA ofisini nawashangaaga sanaKwa hiyo fanya hivi.........fuata tamaa, nenda kwa wachaga for ndoa, ukumbuke watoto wataenda shule na wataenda chooni na wataenda Moshi Xmas, na mama yako atafurahi......UKUMBUKE KUWA HUWEZI KUPENDA MCHAGA, UKAZIPENDA HELA ZAKE, HALAFU UKACHUKIA BIA YAKE.
Hebu njoo huku nikuunganishe na ankal tuzichange.Unahisi ni mkaka kisa sikuungi mkono??Ni mdada tena wa hilo kabila unalotamani vijisenti vyao!Ushauri wangu ni ule ule..olewa na unaempenda!Mkijipanga na mMassai wako mtatengeneza pesa zenu pamoja!
Desidii elewa mume hasifiwi ukubwa wa dude lake bali uwezo wa kuwaorienti watoto wawe atakavyo, i hope huyu masai ni best at this, anaishi na mamake tena mama mtu ananipenda sana. wadogo zake wapo skuli OLD MOSHI na weruweru
hujui kama ana uwezo huo??are you heading towards marriage with a person you are not sure will make a great dad???
Explanation!
usinitishe wee ******* bado nimekuweka pending,nitakutafuta kwa wakati wangu,na habari ndio hiyo!
Sasa umeandika kama unaongea, naconcludi kwamba unawapenda sana wala huzipendi hela zao?!!wamarangu nawazimia kikweli ila MUNGU AMEWAPA KILEMA CHA BIA,jioni MACHALII WANAKUNYWA ARUSHA wanaself drive kwenda marangu eti BIA ZA ARUSHA zinakata stimu nataka ninywe nkiwa MARANGU MTONI,asubuhi saa mmoja YUPO ARUSHA ofisini nawashangaaga sana
asante Michelle well said daln.....Marytina,si wote my dear tuko hivyo,wengine mmoja akiondoka,tunasubiri tupone vidonda,na kupumzika kwa muda kabla ya kuanza uhusiano mwingine......:plane:
:a s 39::a s 39::a s 39:
Hebu njoo huku nikuunganishe na ankal tuzichange.
Huyo anatafuta Loan Board bana, sio mume.