Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

wewe bigitaria nimesama wanaume hamuhusiki manake mpo kutukandia tu wadada, niwe na mmoja akinipiga chini nianze tena kuweka mitego ntanasa lini au unataka niolewe uzeeni au nikose kabisa wa kunioa? UMBEA TU HI THREAD NI KWA WADADA .

Nani kwa kuambia Bigirita ni mwanaume, nina wasi wasi...........................
 
mimi shoga shosti!
Wewe mkubali tu huyo mmasai. Wachaga vibamia na pesa zao, masai na mtarimbo wake, inchi 6 na kuendelea.
hivi wakaka hamuelewi, kwa nini kuchabo hii thread ya wadada. UMEISHIWA HOJA UNATUKANA.wachagga wanamwaga pesa ile mbaya sema dada yako hawajulii, I LIKE THEM ILA WANANIKWAZA KWA MIPOMBE YAO
 
Anarudi kwa masai, na anakuta masai kashakula kona!
Orait, kwa hiyo, aendekwa masai, halafu ATM ziwe marangu?
Au aende kwenye ATM halafu tamu apate kwa Masai?
Naomba ufafanuzi.
 
mimi shoga shosti!
Wewe mkubali tu huyo mmasai. Wachaga vibamia na pesa zao, masai na mtarimbo wake, inchi 6 na kuendelea
.

Amkubali huyo mmasai tena na kile kijitu chao wanachokata/tahiri bila kukiondoa na kuviringisha chini kinaongeza mahanjumati
 
Shosti, money ain't a thing kama kweli unampenda.
Hebu rudisha kumbukumbu zako nyuma, ulipokuwa for 2 na boyfriend wako yuko form 3.
Mnakula mihogo, mnainjoi. Usiku mkikutana kona mnamalizana hukohuko.
Mambo yalikuwa mazuri na mapenzi ya dhati.
Penye upendo pana amani, penye tamaa ya pesa pana ukimwi
 
marytina chukua huu ushauri ufuatao

You come to love not by finding the perfect person, but by seeing an imperfect person perfectly

wewe ndugu yangu sikia nikwambie mapenzi siyo pesa, angali mtu anayekuja, unaweza angalia pesa na usiwe na furaha katika ndoa yako, acha kabisa hiyo tabia, na kwa ushauri mwombe sana Mungu akupe mume mwema, kwani yaweza kuwa kati yao hakuna hata mmoja aliye wakwako,,, kaa na Mungu vizuri maana ndoa siyo mchezo kama unavyoitaja weee!
 
nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi...

Siku nyingi sana nilikuwa natafuta fataki wa kike, nashukuru leo nimempata, ngoja nikaharakishe kuchukua zawadi yangu... sorry, nilikuwa napiga chabo tu ngoja niondoke kabla hamjanikuta wenyewe
 
Nani kwa kuambia Bigirita ni mwanaume, nina wasi wasi...........................
are you sensing something LD? hebu pekua ma-file.
Post ya kwanza tu ananiita mwanaume.........na jina langu kama la Roselyne
 
Watu kama wewe mnasababisha zile fikra potofu juu ya waChagga!Kwani aliwahi kukwambia waMassai sio watu?
WAMAMA WOTE WANATAMANI MABINTI tuolewe kwao, kaa kimya kama ni mkaka.HAPA ARUSHA wadada tunataman sana chagga for ndoa, ila huyu MASAI ana hekima za kizidi
 
Anarudi kwa masai, na anakuta masai kashakula kona!
Orait, kwa hiyo, aendekwa masai, halafu ATM ziwe marangu?
Au aende kwenye ATM halafu tamu apate kwa Masai?
Naomba ufafanuzi.

Ha ha ha hapa ndio huwa napenda magazijuto yako unavyoyafanya
 
Siku nyingi sana nilikuwa natafuta fataki wa kike, nashukuru leo nimempata, ngoja nikaharakishe kuchukua zawadi yangu... sorry, nilikuwa napiga chabo tu ngoja niondoke kabla hamjanikuta wenyewe

JF wadada tutaandamana ukimchukua marytina wetu ukampeleka kny vyombo vya dola lol
 
Anarudi kwa masai, na anakuta masai kashakula kona!
Orait, kwa hiyo, aendekwa masai, halafu ATM ziwe marangu?
Au aende kwenye ATM halafu tamu apate kwa Masai?
Naomba ufafanuzi.
Unataka tu niongee wewe!!Aende kwa mMassai alafu watafute pamoja!Kua tegemezi kumepitwa na wakati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…