Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

Nmemgundua huyo mmasai...! Na sasa naenda kumshtua...! However, i am a man...
pls konakali tueshimiane washtue wamarangu ila masai niachie,yanin mambo ya jf uyapeleke kwa machalii wa street?

 

safi sana michelle,
nimependa huu ujumbe wako hasa,
kwa mdogo wako marytina,!!!
ombi langu kwako, kama ujuavyo kizuri kula na nduguyo!!!!
sijui weekend hii hashycool utakuwa nae?
nina jambo zito la moyoni la kukwambia!stay blessed!!!!
 

Unajiulizaga kuhusu watu wasio na kazi wala elimu wala ardhi ya kulima na wanaishi na watoto wao wanakua vizuri na kuwa watu wa maana kutoka hizo ST Kayumba,ila wametoka ndoa zenye amani na furaha na upendo??na wanakuwa watu wa maana sana???Ukitaka kufanya decision yoyote angalia pande tofauti,maisha yako hayako mikononi mwako,do your best,the rest leave it to GOD......Hata nchi hii ikienda CHADEMA,hawatakuwa suluhisho la kila kitu,haya umeolewa na huyo mmarangu hela zikaisha,utamhama uende kwa mwingine,why this dependency behaviour???Huwezi kusimama kama Marytina,yani you are not taking any initiative unang'ang'ania watoto na shule wasomeshwe,we ni mlemavu wa ubongo,huwezi fanya kazi???
 
Typical golddigger!
no at all nimempa masai muda wa mwaka amalizie mpango flani kisha ntamuumiza mama kwa kumwambia naenda kuolewa,magolddigger wote wanamachalii wanaowapenda kikweli sio kwa kuwa na mkwanjwa,masai ni wa ukweli
 
safi sana michelle,
nimependa huu ujumbe wako hasa,
kwa mdogo wako marytina,!!!
ombi langu kwako, kama ujuavyo kizuri kula na nduguyo!!!!
sijui weekend hii hashycool utakuwa nae?
nina jambo zito la moyoni la kukwambia!stay blessed!!!!

Yani huyu Hashy jamani,haya mambo ya kupenda hela na mali
Kaniacha huku shamba yuko huko anazunguka na kusema yuko ''available''
Niko kijijini Marangu na mifugo yake,ndo nimemaliza kuoga nimekuja hapa kumchungulia
Niambie hilo jambo zito kwa PM basi Bacha,nikirudi mjini nikutafute???
STAY BLESSED TOO
 
This is a diamondigger,its more than gold.............lol 😛lane:
Tumeshamshauri,kazi kwake sasa!!
michalle nani kakwambia naenda marangu? niliyowaeleza ni changamoto nazoziwazia ila moyo wangu upo kwa masai,siku ya maandamano ya chadema ARUSHA nilimpiga ban asiende manake staki hata aguswe na jani la mti.
 

mmmh, haya bana,
huu ujasiri mwingine unataka moyo!!!
haya ingia kwa PM basi!!!!
 
, sijawai kutembea na machalii wawili kwa kipindi kimoja na sitafanya uo upuuzi.
 
michalle nani kakwambia naenda marangu? niliyowaeleza ni changamoto nazoziwazia ila moyo wangu upo kwa masai,siku ya maandamano ya chadema ARUSHA nilimpiga ban asiende manake staki hata aguswe na jani la mti.

My dear Marytina,usiwe mkali na mimi,i simply want the best for you!!!

Kuna mambo mengine wala hayakuhusu tulikuwa tunaongea tu kuchangamsha jukwaa ulipokuwa haupo mama

Popote utakapoamua kwenda,sina neno,ila nimekupa ushauri toka ndani ya moyo wangu.
 

bado unampa shule marytina tu?
 
mmmh, haya bana,
huu ujasiri mwingine unataka moyo!!!
haya ingia kwa PM basi!!!!

Humuoni simba hapo wewe,we ingia,mi ntakuja baadaye,hujui we kwenye list ni namba nne,niko na namba tatu hapa???
 
Humuoni simba hapo wewe,we ingia,mi ntakuja baadaye,hujui we kwenye list ni namba nne,niko na namba tatu hapa???

oooh, pole mama,
nilikuwa sijaona!
huu ujasiri mwingine unaweza kufa bure!!!!!
 
Naplilia baraka zangu kwa mola kwa kumshauri lililo jema.....

Nakaribia kumaliza,naona sasa anajibu yale ya jana,ndo nasubiri.
nimepooza yaan kama kuna wakaka wa ajab basi ni HASHYCOOL na THE FINEST, sijui nyumbani wanawachukuliaje dadazao kwa namna wanavyokandia wadada.

thread ijayo nataka waonesha watu namna navyowadis hashy and the finest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…