hahah! ulivyo na uhakika........Unaongea na Professional hapa. shauri yako.vyovyote apendavyo asali wa moyo wangu,akipenda nibaki mndeny poa,akipenda tuweke watu kule mndeny wasimamie wadudu poa
Yeye ana maana sana kwangu,kwa jinsi nilivyomsubiri,chochote mi ntafanya................
akikaa A-town miezi saba jua ameniacha na malaria ya miezi miwili,by the time anarudi......university student to be amewasili.....upo?
dah,hii ya university student inanichekesha sanaaa.
Unaweza kukata majani ya ng'ombe lakini!
asante kwa kuendelea kumpa tahadhari. ndo maana nitaendelea kulinda maslahi yako especially pale ambapo hujatimiziwa unachohitaji vizuri.dah,hii ya university student inanichekesha sanaaa.
Unaweza kukata majani ya ng'ombe lakini!
Usiseme kuhusu hivyo vijisenti vya uswis,hawashindwi kutu wikiliki hawa,JF intelligence ni kubwa plz....ibaki siri yetu tu!!!!😛lane:
hahah! ulivyo na uhakika........Unaongea na Professional hapa. shauri yako.
asante kwa kuendelea kumpa tahadhari. ndo maana nitaendelea kulinda maslahi yako especially pale ambapo hujatimiziwa unachohitaji vizuri.
asante kwa kuendelea kumpa tahadhari. ndo maana nitaendelea kulinda maslahi yako especially pale ambapo hujatimiziwa unachohitaji vizuri.
usiseme kuhusu hivyo vijisenti vya uswis,hawashindwi kutu wikiliki hawa,jf intelligence ni kubwa plz....ibaki siri yetu tu!!!!😛lane:
achana nao hwa wikiliki kwani kale ka a/c ketu ka visiwa vya blunei wanakajua?
mi nshajua,ntakuwa nambari wani kuwawikilikisha,labda mnipe madolari ya kiziba mdomo..lol
na u-professional wa Shemeji shemeji je?Hivi Biggie kuna u-proffessional zaidi ya kuwamudu watano at once???? NOPE
we bana sikiliza, ushaambiwa mapenzi hayapeleki watoto university.........sasa kwa vile wewe umewekewa superglue, nmi nakubali kutulia.........superglue si ina expire pia?kaka unajua ingredients iliyomo kwenye mbege?
Ukiendelea kutaja hizo account naondoka....................
au kuna mtu unaji-market kwake mpz??? niambie nijue,mi roho inauma,tukipoteza zile unafikiri huko university ntasomesha watoto na mapenzi yako????
na u-professional wa Shemeji shemeji je?
basi mama sitaji tena......na zile tulichimbia kwenye migomba inabidi tuzibadili si umesikia kuna noti mpya?
nitafanya elektronik transfer sema nambari yako ya a/c yako ya pesa za madafu
wajomba zako wamarangu hawakukwambia kwamba baba mkwe is as bad as mashemeji?Usinitege mimi,mitihani kama hiyo aunt wangu mngoni aliniambia itakuwepo na namna ya kuishinda......lol
we bana sikiliza, ushaambiwa mapenzi hayapeleki watoto university.........sasa kwa vile wewe umewekewa superglue, nmi nakubali kutulia.........superglue si ina expire pia?
ngoja niitafute kwenye makabrasha yangu,sasa hiv natuma before hujabadil mawazo..hahahaaaaaa.