KOKUTSU DACHI stance ila kwa posture aliyokaa inaonekana anacheza KYOKUSHIN KARATE
Kwa wale wanaosema wanampiga simply niweke hivi kokyushin karate ni tofauti na karate style nyengine kwa kuwa yenyewe ni full contact karate means huyo mdada akikugusa kokote lazima ukae na ime base kwenye traditional stances na mitupo .
UKIONA MTU AMEKAA STYLE YA KUJAMBA KIMBIA SANA tena kama kuna bodaboda mwambie akuwahishe chap home hilo pigo lake acha kabisa.....πππππππππ