Kwa wa Tanzania waishio Singapore naomba uzoefu wa misha ya huko

Mzaleee

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,617
3,031
Wakuu kwema,

Kama Kuna Mtanzania yeyote anayeishi nchini Singapore pengine kikazi,kibiashara au kimasomo naomba anipe uzoefu wake maana nimepata partial scholarship ya master's hivyo nikahitaji nijue Moja na mbili kuhusu maisha kiujmla yalivyo hapo Singapore na kama kuna kazi za mtaani kusogeza maisha.

Karibuni sana kwa mtu yeyote mwenye uzoefu na hili.
 
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo Singapore maisha ni ghali na densely populated. Ni vigumu sana hata kumiliki Gari wamefanya hivyo ili kusiwe na msongamano watu watumie public transport.

Halafu wasingapore wenye asili ya china wanajioana wao ndo high class kuliko wengine wenye asili ya Malaysia na India. Na hawachanganyikani hasa kwenye kuoana.

Navoiona Singapore kwa muhamiaji hamna fursa hasa mwafrika. Wanalalamika kwa kubaguliwa.
 
Wewe nenda tu.
 
Nenda boss kuko poa sana sema life la pale na la New York halina tofauti sana. Ukimaliza shule kaz zipo ila maisha ni gharama sana. Wana garden za kiume nilizipenda sana. Na usisahau kwenda swimming ya ghorofan.
 
Kwa bara la Asia, nikipata scholarship ya Japan ama South Korea ndio nitaenda kudoma. Nchi nyingine ni bora nisome open university ya bongo tu.
Singapore wana vyuo vikuu vizuri sana matawi ya vyuo vikuu bora sana ulimwengunii na bei huwa kidogo cheap kuliko kwenda kusoma kwenye vyuo vinakotoka kama uingereza au marekani
 
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo Singapore maisha ni ghali na densely populated. Ni vigumu sana hata kumiliki Gari wamefanya hivyo ili kusiwe na msongamano watu watumie public transport.

Halafu wasingapore wenye asili ya china wanajioana wao ndo high class kuliko wengine wenye asili ya Malaysia na India. Na hawachanganyikani hasa kwenye kuoana.

Navoiona Singapore kwa muhamiaji hamna fursa hasa mwafrika. Wanalalamika kwa kubaguliwa.
Acha ujinga wewe, huijui Singapore, hadithi za mtaani tuu hizo, yeye sio mhamiaji, anaenda kusoma with full scholarship
 
Back
Top Bottom