Kwa wa arusha na moshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wa arusha na moshi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by dibbo, Aug 4, 2011.

 1. dibbo

  dibbo Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaotaka soda ya Azam cola ctn moja ni sh 6000 inakua na chupa 12 zenye ujazo wa nusu lita,na azam malta ipo ya flaver ya apple na pinaplle inakaa chupa 12 kwa ctn na ina ujazo wa nus lita bei ni sh 8500 nipigie number 0767366367
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,957
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280

  upo maeneo gani?
   
 3. u

  ureni JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Hizo azam cola mchanganuo wake ukoje?manake mimi nilionjaga zinaladha kali sana?
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,987
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Tukishakutana humu jamvini ni zaidi ya ndg na bila shaka weka mambo hadharani bila kuweka nukta. Anguka full 2kupate.
   
 5. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,283
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  mkuu mimi nipo arusha lakini c hitaji hizo juice za azam, mimi natumia fresh juice za matunda kutoka hapo muheza tanga
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,987
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Nawe KOMANDOO! Jamaa katoa elekezo tu! Na hukutaka kujua mimi na wewe tunatumia nini ni kwmb kama unapendezwa na Cola ya Azam we mwangukie mchizi mfanye biashara hataki hata kujua unatumiaga ipi. Mi nahisi nawe unatuoshea humu jamvini tu kwa Fresh! Hebu nipatie upatikanajiwa hiyo Fresh yako.
   
 7. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,206
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Ndio maana hata mitihani watu hufeli unaulizwa hili wewe hujibu kitu kingine,jamaa amesema anauza soda za Azam wewe unasema huhitaji juice za Azam,na hajauliza kama kuna anayetumia juisi za matunda ya kutoka Muheza,kuchamba kwingi mwisho unatoka na kimba la .......
   
 8. u

  ureni JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  KOMANDOO anashosema ni kweli ni vizuri kunywa juice fresh za matunda,manake hawa wafanyabiashara wanauza products zao wanachanganya madawa na sidhani kama yanafaida yoyote kwenye mwili wa binadamu.Ushauri mzuri ni kula matunda fresh badala ya kukimbilia kunywa haya machemical.
   
 9. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 891
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  mkuu mbona gali sana kuna kamtaa wanauza rejereja @500 sasa ukiniuzia 6000 kwa ctn mi nitauza sh ngapi??
   
 10. Q

  Qsm JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 381
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  thanks tutakutafuta
   
Loading...