pole mkuu inawezekana ujumbe haukufika vizuri. ila nadhani lengo lako lilikuwa ni zuri tu, la kujua takwimu ya watanzania wenye elimu kuanzia kiwango fulani ili uweke kumbukumbu zako sawa hususani kama unakautafiti kako. Samehe bure tu watu wengine hawajui maana ya jukwaa