Kwa viongozi wetu: Asili ni asili tuu. Mbuga zetu, milima yetu n.k hata zikiwa zote Kilwa, bado ni mali ya Taifa. Tuviboreshe kwenye asili zake.

Burigi kuna ajabu la Sanamu iliyonuna ya Chifu Burigi Chato.
 
Sorry, nikusahihishe tu kidogo. Mlima Kilimanjaro siyo mlima mrefu wa pili duniani. Get your facts correct, pamoja na kwamba sie sote tunaipenda nchi yetu ya Tanzania.

Ila mjadala uendelee. . .
 
Sorry, nikusahihishe tu kidogo. Mlima Kilimanjaro siyo mlima mrefu wa pili duniani. Get your facts correct, pamoja na kwamba sie sote tunaipenda nchi yetu ya Tanzania.

Ila mjadala uendelee. . .
Uko sahihi.
 
 
Kwanza kakosea sana hii kauli ya "kwanini watalii wende kaskazini tu"
Hii ni kauli ya kibaguzi na inayopaswa kutolewa na watoto wadogo tu.

Pili wanatumia nguvu kubwa sana ya kujitoa akili na kutaka kuhalalisha huu mpango wao wakuiendeleza chato kwa nguvu zote bila kuzingatia mahitaji ya wananchi wengine na maslahi mapana ya taifa.

Taifa linapitia katika wakati mgumu sana wa kujaa viongozi walio na nakisi ya weledi na uzalendo.

Muda utatupa somo lakini tujiandae kupata somo lolote zuri au baya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…