Kwa viongozi wa Afrika Mashariki, Uhuru Kenyatta ni kiongozi aliyechaguliwa na Mungu!

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,240
9,527
Hi!

Nimesikiliza wimbo wa Rose Mhando wa shukrani- Kenya Ulindwe!

Na baada ya kuusikiliza nikajiuliza kwanini hizi baraka zisibaki kwetu au ziende pengine popote?

Kwanini zimuendee Uhuru?

Nikakumbuka pia sakata la vifaranga vya kuku vilivyochomwa moto na ng'ombe zilizotaifishwa na reaction ya Uhuru, nikasema kweli Uhuru ubarikiwe na malango yako yawe salama!
Uhuru ana uhaiba fulani na Kikwete.

Ukimuangalia Kagame unaona Panga na damu, Ukimuangalia Museveni naye Panga na damu, hapo Burundi panga na damu!

Mzee Meko namheshimu sana siwezi kumuongelea, siwezi hata kufunga kamba za viatu vyake!

Uhuru, Mungu akulinde, Uhuru uinuliwe, Uhuru malango yako yabarikiwe, Nasema tena Uhuru, narudia Uhuru, mipaka yako ilindwe!

Mbingu zinene mema, kwaajili yako zinene mema.

Uhuru ubarikiwe pamoja na watoto wako.

Uhuru ulimpokea Lissu na hukufanya hiana!
Uhuru pokea baraka.

Kenya pokeeni baraka kwakuwa mnaye Uhuru!
 
Ila kwa ubabe wake namuunga mkono!
uongozi sio jukwaa la visasi, kula wake za watu, chuki, roho mbaya na kujifnya mjuaji wa kilakitu! kuna mmoja wa hao viongozi wa EAC halijui hilo, na sio Uhuru.
 
Uhuru is presidential material.....nilimkubali pale odinga alipoitisha mkutano ili kula kiapo cha kuwa rais, Uhuru akatuma polisi wakalinde ule mkutano.....ila lingekuwa ni hili jitu la shetani tungeongelea mauaji ya alaiki.....hongera Uhuru kenyata......Hekima ndo msingi wa kila kitu....ila hili li ibilisi halina hata chembe
 
Wakavamiwa na alshabaab,kama kawaida uhuru akaendelea kukupa mapenzi moto moto.
 
Wakati huo huo Makamu wake ndio anayetajwa kuwa fisadi namba moja Kenya

Kuanzia tarehe 1/11/2019 chama cha wauguzi kimebariki mgomo utakao husisha takribani wafanyakazi 2000.

Ahsante
 
Usilojua sawa na usiku wa kiza
Kenya ndio nchi inayoongoza kwa extra judicial killings in Africa
Mkuu wa IT wa tume ya uchaguzi kenya,alikatwa kiganja na kuuwawa
Mgombea ubunge wa jimbo la starehe,aliuawa getini baada ya matokeo kutangazwa
Mtoto wa Odinga,aitwaye fidel castro aliuawa
Kenya ni nchi inayoongoza kwa ufisadi katika EA
Waziri Naomi shaaban alikwapua mabilioni ya kuwapa mikopo vijana akakutwa nayo
Waziri wa fedha kapiga mabilioni ya umwagiliaji maji
Hiyo ni mifano michache tu,wakenya wanaomba huyo uhuru muda wake uishe tu
 
Tania tu hata kumtangaza namba mbili wa mzee meko uone utakakoishia

Wao wana uhuru angalau wakusema na kukusanyika.
Ila hiyo haisemi chochote kuwa namuunga mzee meko mkono na juhudi mpaka Yesu aje
Wakati huo huo Makamu wake ndio anayetajwa kuwa fisadi namba moja Kenya

Kuanzia tarehe 1/11/2019 chama cha wauguzi kimebariki mgomo utakao husisha takribani wafanyakazi 2000.

Ahsante
 
Extra judicial?
Are they organized and executed by the state?
Do you have solid proof or even circumstantial evidence?
Usilojua sawa na usiku wa kiza
Kenya ndio nchi inayoongoza kwa extra judicial killings in Africa
Mkuu wa IT wa tume ya uchaguzi kenya,alikatwa kiganja na kuuwawa
Mgombea ubunge wa jimbo la starehe,aliuawa getini baada ya matokeo kutangazwa
Mtoto wa Odinga,aitwaye fidel castro aliuawa
Kenya ni nchi inayoongoza kwa ufisadi katika EA
Waziri Naomi shaaban alikwapua mabilioni ya kuwapa mikopo vijana akakutwa nayo
Waziri wa fedha kapiga mabilioni ya umwagiliaji maji
Hiyo ni mifano michache tu,wakenya wanaomba huyo uhuru muda wake uishe tu
 
Mzee wa tungi anasifiwa eeh!! Duniani yasasa inahitaji kiongozi aliye resiresi sio mtusoft nahuo ndio ukweli viongozi kama Kim,Putin,trump nk. mpaka England wameliona hilo!! Tuko sahihi na Magu na tutafika pahali japo tupo tutakaoumia lakini wengi watakuja kufaidi mema ya nchi. Hapa ndiyo ile kauli yakibabe "mvumilivu hula mbivu" inapokuja! tofauti naile yakinyoronyoro "ukitaka kula lazma uliwe" sasa wanaotaka kuliwa kidogo wakaliwe sisi tunavumilia na kupambana wenyewe kishujaa mpaka tutoboe. We we mchina anajenga barabara Kenya alafu anajimilikisha kwa miaka 30 huo si ni upuuzi na ukoloni kabisa
 
Extra judicial?
Are they organized and executed by the state?
Do you have solid proof or even circumstantial evidence?
Huyo mtu wa IT alikua tishio kwa utawala uk,alisema wazi wazi safari hii mtandao hautafeli na kura hazitaibwa
Huyo mtoto wa odinga alikua aje kuwa mrithi wa baba yake kisiasa,serikali ikaona bora kubaki na huyo mzee aliechoka kuliko kumuacha kijana atakaesumbua miaka mingi
Mombasa kulikua na sheikh anaitwa Makaburi,alikua mpinzani mkuu wa serikali maeneo hayo,alipigwa risasi barabarani vitoto vyake vikaachwa ndani ya hiace
 
Leo tunaweza kifungua midomo kuongelea mapungufu ya kenya ila ya hapa kwetu hatuthubutu!
Mzee wa tungi anasifiwa eeh!! Duniani yasasa inahitaji kiongozi aliye resiresi sio mtusoft nahuo ndio ukweli viongozi kama Kim,Putin,trump nk. mpaka England wameliona hilo!! Tuko sahihi na Magu na tutafika pahali japo tupo tutakaoumia lakini wengi watakuja kufaidi mema ya nchi. Hapa ndiyo ile kauli yakibabe "mvumilivu hula mbivu" inapokuja! tofauti naile yakinyoronyoro "ukitaka kula lazma uliwe" sasa wanaotaka kuliwa kidogo wakaliwe sisi tunavumilia na kupambana wenyewe kishujaa mpaka tutoboe. We we mchina anajenga barabara Kenya alafu anajimilikisha kwa miaka 30 huo si ni upuuzi na ukoloni kabisa
 
Leo tunaweza kifungua midomo kuongelea mapungufu ya kenya ila ya hapa kwetu hatuthubutu!
Ndugu Rais anazunguka kila kona ya nchi kusikiliza mapungufu na kutetea wanayoyatoa wewe unatakaje?? Anza na mapungufu yanayokuzunguka unayoyajua kabla ya kukimbilia yajuu usiyoyajua. Unaacha kulalamikia shule yenu,maji kenu unataka kulalamikia ruksa ya kuandamana? mara acacia unaijua iyo acacia???
 
Back
Top Bottom