Kwa vijana wenzangu wa kiume!!

Kwa vijana wenzangu wa kiume!!

Nishatoka huko sasahivi naenda tu kwa babu namuonyesha picha anasema weka alfu thelathini kwenye kikapu!, akitikisa vibuyu tu mtoto huyo ananifata mwenyewe!.. maswala ya kukataliwa nayasikia kwenu tu!. mi siwezi kuhangaika wakati mizimu ipo..😂
 
Back
Top Bottom