Kwa vijana wapambanaji

Kwa vijana wapambanaji

Fujo gani tena jamani?
Si tulikubaliana 2022 ni pisi endi lavu?

Cc dia babu Asprin
Nimeona neno "pisi" nikastuka kidogo kumbe ni mapisi na malavu...

Hiyo ilipitishwa na bunge..

Kama mtu hajaelewa kesho nitazungumza na waandishi wa habari
 
Kuwa kauzu mzee.
huwa najifanya kauzu kama hivyo ila nikisikia mtu mzima nimeitwa baby nageuga[emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-447309468.gif
 
Back
Top Bottom