TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,764
- 1,836
Natumaini humu wote ni wazima wa afya na kazi inaendelea kwa jina la jamhuri.
Hii ni kwa vijana wenzangu wapambanaji, kamwe usiruhusu mwanamke/msichana ambaye baba ake ni maskini hajiwezi kwa lolote akutoe wewe kasoro kisa humpi pesa.
Ingekuwa pesa ni rahisi baba ake angekuwa kama Bhakresa ila sio rahisi na wewe unapambana, simamia kwanza malengo yako Acha kubeba mzigo wa familia za watu.
Kuwa mchoyo, kuwa toxic.
Mwisho; msioe kwenye familia baba za wanawake wenu hawajielewi acheni kujipa stress zisizo na ulazima.