Skeleton, dragon etc hao wanatengenezwa na cgi (mara nyingi) ila kwa producer wakali wanatumia watu wanaodiaguise.
Nenda youtube search cgi short movie utaona watu wanaojifunza wanavyotengebeza vipande vyao vya cgi, wengine wanatengeneza hadi super heroes.
Application zinazotumika ni zile zile za 3d na animation.
Hizo mtu mmoja kucheza sehemu mbili huwa wakichukua movie nyuma kwenye background wanaweka plain color mfano light blue, halafu baadae wanatoa ile background na kubaki mtu tu then wanaweza wakaunganisha matukio mawili tofauti au wakachukua video ya wanaopigana wakafanya body dubing ili ionekane ni mtu mmoja. Nenda pia youtube utaona video