Kwa uzembe wa Liverpool msimu huu, Nawapa Chelsea ubingwa wao

Hakika haya maneno hata malaika mbinguni wameyaunga mkono

YNWA ....
 
Hiviii jama we shabiki wa mpira kweli....?unawa judge lierpool kwa mechi Hi zoo 2 tena za saree...? Hujui kwamba Brighton na Brentford wapo kwenye form Chelsea kashinda kwa mbinde sana pale kwa brentford afu Brighton ni wazuriii hta city kahangaika San think big watu wapo kwenye fomu
 
Enhee kwaiyo saivi nan mwingine unamuona bingwa Arsenal au!!? Maana Chelsea kadroo na Burnley aliyepo dhoofu bin taabani bora hata aliyedroo na Brentford na Brighton
Oya pale kwa wagonga nyundo pagum sana pale!!Tuone kama liverpool atachomoka!!
 
Enhee kwaiyo saivi nan mwingine unamuona bingwa Arsenal au!!? Maana Chelsea kadroo na Burnley aliyepo dhoofu bin taabani bora hata aliyedroo na Brentford na Brighton
Oya pale kwa wagonga nyundo pagum sana pale!!Tuone kama liverpool atachomoka!!
 
Mbona umeandika kwa papara sana kama unakimbizwa
 

Chelsea kuongoza ligi ukaona tayari ameshachua kombe?

Saizi unaona aibu maana chelsea imepoteana.

Bingwa anapatikana baada ya mechi kuisha sio chelsea kacheza mechi 10 anaongoza ligi unaanza kusema atachua.

Hujui mpira wewe, bado mtoto wewe kwenye mpira.
 

Vipi Na chelsea yako sasa hivi mnashika nafasi ya kwanza,nilikuambia wewe.saizi unaona aibu.
 
Nadhan Sasa ataelewa katika soka hatuangalii umeanzaje Bali umemalizaje

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe utakuwa ambangile ...maana na yeye alisema kuwa Chelsea atachukua ubingwa ,
saizi hata yeye anajuta kutamka Yale maneno mbele ya camera
 
Sisi kilichotugharimu ni injury za Benchilwell ,James na Kante tangu waumie tukaanza kuyumba

Kila timu iko hivyo hivyo mkuu hata Liverpool kutoa sare na Brighton hao na tumu zingine kwasababu middle zao kama Thiago hakuwepo.

Swala la injury lipo kwa kila timu,Tatizo Mashabiki wa Chelsea mnadhani mtachezaga hivyo hivyo wachezaji hawawezi kuumia.

Mlitakiwa kujua hivyo vitu kuanzia mwanzo hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…