Kwa uzembe wa Liverpool msimu huu, Nawapa Chelsea ubingwa wao

Mkuu hujui mpira wewe.

Unaonekana unafata upepo unakoenda na baadae utabadilika Chelsea kuongoza ligi kwa point 3 Wewe ndio unaona watachukua ligi?

Chelsea haina wachezaji wakuwapa ubingwa wa Epl mkuu ni swala la muda tu.

Ratiba ya chelsea mechi tatu za mwisho amecheza na atacheza na timu tatu za mwisho kwenye ligi sasa wewe ukiona chelsea anashinda unaona ndio mabingwa hao.

Timu Liverpool pia huijui vizuri wewe unaangalia mpira kwenye livescore halafu unakuja kupiga kelele huku.

Hivi unakumbuka liverpool mara ya mwisho kufungwa lini?

Tunaifadhi hayo maneno yako.

Ila unavyoonekana hui pendi Liverpool na wewe sio msema kweli.

Bayern hao wenyewe wanawaogopa Liverpool

Unakumbuka na ubora wao walifanywa nini hapo Allianz arena na Liverpool akaenda kuchukua ubingwa.

Liverpool itachukua ucl na Epl.

Usiache kuangalia mpira kwenye livescore na kujakuwaongopea watu .
Hakika haya maneno hata malaika mbinguni wameyaunga mkono

YNWA ....
 
Hiviii jama we shabiki wa mpira kweli....?unawa judge lierpool kwa mechi Hi zoo 2 tena za saree...? Hujui kwamba Brighton na Brentford wapo kwenye form Chelsea kashinda kwa mbinde sana pale kwa brentford afu Brighton ni wazuriii hta city kahangaika San think big watu wapo kwenye fomu
 
Enhee kwaiyo saivi nan mwingine unamuona bingwa Arsenal au!!? Maana Chelsea kadroo na Burnley aliyepo dhoofu bin taabani bora hata aliyedroo na Brentford na Brighton
Oya pale kwa wagonga nyundo pagum sana pale!!Tuone kama liverpool atachomoka!!
 
U

Umeandika nini..? Liverpool.katoka draw na Chelsea pale anfield tena chelsea akiwa pungufu mtu mmoja ilikua liverpool apigwe kama zote sema ile kadi nyekundu ya james sasa hao.liver wakufugwa na brentford wabebe ubingwa...? Labda wa uji . Akija Stamford bridge tunamkamua saaana akienda kule et hadi anakamuliwa saaana na man u watapata draw pale anfield marudiano bado hao.kina astaon vila tottnham arsenal nk.mtawaachia point liverpool hamna chenu tuachieni tu kombe letu chelsea na wiki hii mnapigwa
Mbona umeandika kwa papara sana kama unakimbizwa
 
Droo ya 3-3 dhidi ya Brentford na 2-2 dhidi ya Brighton umehitimisha juhudi zao kuelekea ubingwa wa epl msimu huu!Liverpool wasahau kabisa kwa uzembe waliuonyesha!!
Chelsea ni timu iliyokamilika kwa kila idara!Nawakabidhi ndoo yao!!
Man utd wana mabosi mabogasi kabisa hivi Ole anafanya nini pale?hadi mnamwacha Conte anaenda spurs??????Man city msimu huu siwapi nafasi ya ubingwa wa epl wana tatizo la mentality!!
Klopp ajikite kwenye Uefa labda atabeba lakini kuna Bavarians wako fiti kinoma noma!!
Mentality monsters wamekua the opposite!!

Chelsea kuongoza ligi ukaona tayari ameshachua kombe?

Saizi unaona aibu maana chelsea imepoteana.

Bingwa anapatikana baada ya mechi kuisha sio chelsea kacheza mechi 10 anaongoza ligi unaanza kusema atachua.

Hujui mpira wewe, bado mtoto wewe kwenye mpira.
 
U

Umeandika nini..? Liverpool.katoka draw na Chelsea pale anfield tena chelsea akiwa pungufu mtu mmoja ilikua liverpool apigwe kama zote sema ile kadi nyekundu ya james sasa hao.liver wakufugwa na brentford wabebe ubingwa...? Labda wa uji . Akija Stamford bridge tunamkamua saaana akienda kule et hadi anakamuliwa saaana na man u watapata draw pale anfield marudiano bado hao.kina astaon vila tottnham arsenal nk.mtawaachia point liverpool hamna chenu tuachieni tu kombe letu chelsea na wiki hii mnapigwa

Vipi Na chelsea yako sasa hivi mnashika nafasi ya kwanza,nilikuambia wewe.saizi unaona aibu.
 
Mkuu hujui mpira wewe.

Unaonekana unafata upepo unakoenda na baadae utabadilika Chelsea kuongoza ligi kwa point 3 Wewe ndio unaona watachukua ligi?

Chelsea haina wachezaji wakuwapa ubingwa wa Epl mkuu ni swala la muda tu.

Ratiba ya chelsea mechi tatu za mwisho amecheza na atacheza na timu tatu za mwisho kwenye ligi sasa wewe ukiona chelsea anashinda unaona ndio mabingwa hao.

Timu Liverpool pia huijui vizuri wewe unaangalia mpira kwenye livescore halafu unakuja kupiga kelele huku.

Hivi unakumbuka liverpool mara ya mwisho kufungwa lini?

Tunaifadhi hayo maneno yako.

Ila unavyoonekana hui pendi Liverpool na wewe sio msema kweli.

Bayern hao wenyewe wanawaogopa Liverpool

Unakumbuka na ubora wao walifanywa nini hapo Allianz arena na Liverpool akaenda kuchukua ubingwa.

Liverpool itachukua ucl na Epl.

Usiache kuangalia mpira kwenye livescore na kujakuwaongopea watu .
Nadhan Sasa ataelewa katika soka hatuangalii umeanzaje Bali umemalizaje

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe utakuwa ambangile ...maana na yeye alisema kuwa Chelsea atachukua ubingwa ,saizi hata yeye anajuta kutamka Yale maneno mbele ya camera
 
Sisi kilichotugharimu ni injury za Benchilwell ,James na Kante tangu waumie tukaanza kuyumba

Kila timu iko hivyo hivyo mkuu hata Liverpool kutoa sare na Brighton hao na tumu zingine kwasababu middle zao kama Thiago hakuwepo.

Swala la injury lipo kwa kila timu,Tatizo Mashabiki wa Chelsea mnadhani mtachezaga hivyo hivyo wachezaji hawawezi kuumia.

Mlitakiwa kujua hivyo vitu kuanzia mwanzo hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom