Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,354
Hakika haya maneno hata malaika mbinguni wameyaunga mkonoMkuu hujui mpira wewe.
Unaonekana unafata upepo unakoenda na baadae utabadilika Chelsea kuongoza ligi kwa point 3 Wewe ndio unaona watachukua ligi?
Chelsea haina wachezaji wakuwapa ubingwa wa Epl mkuu ni swala la muda tu.
Ratiba ya chelsea mechi tatu za mwisho amecheza na atacheza na timu tatu za mwisho kwenye ligi sasa wewe ukiona chelsea anashinda unaona ndio mabingwa hao.
Timu Liverpool pia huijui vizuri wewe unaangalia mpira kwenye livescore halafu unakuja kupiga kelele huku.
Hivi unakumbuka liverpool mara ya mwisho kufungwa lini?
Tunaifadhi hayo maneno yako.
Ila unavyoonekana hui pendi Liverpool na wewe sio msema kweli.
Bayern hao wenyewe wanawaogopa Liverpool
Unakumbuka na ubora wao walifanywa nini hapo Allianz arena na Liverpool akaenda kuchukua ubingwa.
Liverpool itachukua ucl na Epl.
Usiache kuangalia mpira kwenye livescore na kujakuwaongopea watu .
YNWA ....