Kwa Utendaji huu wa Rais Magufuli, Wapinzani mtajisumbua kusimamisha mgombea 2020

Wajinga pekee ndio watampigia kura ila kura zitapungua sana hazitafika 5mil kura zote
 
Unadhihirisha kiwango chako cha ufahamu.Wewe hauna mtindio wa ubongo,unakosa ufahamu
 
Kama unataka kuona asilimia zako hizo mwambie tuweke tume huru tu.
 
Uko sahihi kabisa.

Hawa usiwabomolee nyumba zao, walinipa kura.

Serikali haikuleta tetemeko.
Nawakumbuka watani zangu wa Bukoba siku wanaambiwa hilo neno waliongea kiingereza, kihaya, kiswahili yaani fully kuchanganyikiwa
 
Sikushangai kwani tafiti zinaonyesha watz wengi kama wewe waliugua utapiamlo utotoni ambao umeathiri uwezo wa kufikiri,

Ccm inawapenda sana watu kama nyie ili iendelee kuwakamua.
 
Twaweza walitoa utafiti makini sana
Sikushangai kwani tafiti zinaonyesha watz wengi kama wewe waliugua utapiamlo utotoni ambao umeathiri uwezo wa kufikiri,

Ccm inawapenda sana watu kama nyie ili iendelee kuwakamua.
 
Hivyo viposho mnavyopewa kama infomer wa uvccm/tiss vinawazuzua sana,
 
Mkuu mbona mada yako inaonesha una maisha magumu sana stress mpaka kwenye ubongo lwenye cerebropontine angle??

Tafuta hela mkuu achana na lobbying za wanasiasa tena wa ccm.
 
Hawajui sayansi ya siasa. tutazichukua hizo kadi tutaingia kuwavuruga ndaini kwa ndani
 
Watabisha na hili pia,Ila ndio ukweli halisi jpm atashinda kwa kishindo Cha hajaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…