Kwa Ushereheshaji Huu, Kitenge na Zembwela Wameachwa mbali na Haji Manara

Ukweli ni kwamba Manara hana mpinzani kwenye kucheza na Jukwaa la wanamichezo.

Manara Apewe Maua yake,Hawa kina Kitenge na Zembwela ni wababaishaji tuu.
Hao wamechemka kwenye udalali wa DP ya Dubai tu, lakini kwa Umc wa hiyo shughuri wapo vizuri.

Kama unampenda Haji mualike kwenye shughuri za familia yenu aje kuwa Mc.

Wengine hatupendezwi na watu wenye midomo isiyokuwa na breki.
 
Back
Top Bottom