Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,325
- 64,492
Kwa ushawishi huu, hela ya kustaafu itapona kweli?
[emoji1787][emoji1787] hakiponi kitu hapoKwa ushawishi huu, hela ya kustaafu itapona kweli?
View attachment 2162266
Kwa mazingira yale, hakuna mwanaume jasiri
Kwa hali hiyo, mwanaume sio jasiri[emoji1787][emoji1787] hakiponi kitu hapo
Mzee amenyanyaswa 😂😂😂Mzee amefadhaika.
Kiukweli hiyo mizogo ni matata sana,ukipita njiani ukiiona kwma hujazoea utajikuta unasema "nikirudi home lazima nikaupigie puchu ule mzigo"
Lakini ndo ubanadamu tena baada ya muda unasahau maisha yanaendelea.
Majini yenyewe ndio kama haoWanasembga zina majin
We ungeweza?Masikini had kashindwa kufunga kamfuko kake
Kwa nini mnafanya makusudi?Ajali kazini
Na wewe huwa unafanya hivyo?Hehe
Inaitaji ujasiri kukujibu nisije nikatenda dhambi ya kuongea uongoWe ungeweza?
Hapana..na hii flat screen si kichekesho😂😂Na wewe huwa unafanya hivyo?
Umejazia hatari 😂😂Hapana..na hii flat screen si kichekesho😂😂
Kwa mazingira yale huwezi kufanya maamuzi sahihiInaitaji ujasiri kukujibu nisije nikatenda dhambi ya kuongea uongo