Wewe ndio ulikuwa nae na ulijua kabisa kwamba huyo dem ameolewa ina maana wewe ulikuwa unaona raha kumdabua mke wa watu sio?WADAU siku ya jana nilikuwa na demu mmoja hivi ambaye ni mke wa mtu ila huyo jamaa akealisafiri sasa kuna muda jamaa ake akampigia simu yule demu duh jamaa alivyodanganywa ni noma aisee imeniogopesha sana na kunifanya nijifikirie mara mbilimbili kuoa ama kutooa kumbe kwenyendoa ndo kupo hivi
agekuwa mke wako au ungekuwa ni wewe unatendewa hivyo ungejifikiriaje? msijisifie sikuhizi wengi wanaweka vitu vyao unaweza acha kitu ndani au kung'ang'ania kuweni makini kama sio hivyo unaiona afya inazoofika kumbe jamaa kesha maliza kazi kuweni makini na sikuleta ujinga kama huu wa kusifiana