Kwa ufupi kuhusu mauwaji ya Burma

Kwa ufupi kuhusu mauwaji ya Burma

aleesha

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
835
Reaction score
1,215
Nchini Burma Waislamu ni wachache sana. Wako kiasi cha 4% tu. Wengi wao ni Buddhists. Chuki za Buddhists dhidi ya Waislamu zilianza zamani sana nchini humo, na kwa asilimia kubwa zilichangiwa na viongozi wa nchi hiyo tangu mfalme wa karne ya 16 kwa kuwazuwia Waisilamu wasisherehekee sikukuu na kuwazuia wasichinje nyama za halali kama kondoo na mbuzi. Lakini ikaja kushika kasi zaidi mwaka 2012 na kuendelea baada ya Waislamu watatu kudaiwa kumbaka mwanamke wa ki-Buddhist. Ndipo Waislamu wakazidi kupigwa vita na kuuliwa kinyama.

Religion in Burma (2010)
Buddhism (80%)
Burmese folk religion (6%)
Protestantism (5%)
Islam (4%)
Catholicism (2%)
Hinduism (2%)
Other (1%)
 
aleesha wewe upo mji gani na unapataje taarifa wakati kufika mahali panapofuka moto hakuna foreigner anaruhusiwa kwenda? Sawa Rohinga wanaonewa lakini hili la juzi ni kundi lao lililoanza kupiga na walitegemea nini nchi ya kijeshi. Myanmar haina tofauti na china wala N. Korea isipokuwa wamelegeza kamaba kidogo hivyo tusije tukategemea demokrasia. San Su kyi yupo kama bendera sidhani kama anaweza ingilia jeshi. Kama upo Yangon na mimi nipo pale pale tunayasikia unless una satellite ya kwako ila mtu hafiki kule juu.
 
Kuna ile movie ya rambo, rambo 4 imezungumzia kidogo kuhusu Burma ni noma sana kipande hicho swala ya kuuana ni kama unapoamka na kwenda chooni asubuhi. Ni unyamaa tu asee Wanapaita " war zone".
 
AP-30-800x500_c.jpg




thumbs_b_c_ee9105d2701f5b0effb12da2f09a5b26.jpg


wpid-unnamed-50-jpg1.jpeg



rohingya7_1.jpg




shivering_children.jpg.size.custom.crop.1086x706.jpg



141111222001-pkg-watson-myanmar-rohingya-rakhine-explainer-00012908-horizontal-large-gallery.jpg



a-006.jpg


View attachment 582596
inaskitisha sana
 
Nchini Burma Waislamu ni wachache sana. Wako kiasi cha 4% tu. Wengi wao ni Buddhists. Chuki za Buddhists dhidi ya Waislamu zilianza zamani sana nchini humo, na kwa asilimia kubwa zilichangiwa na viongozi wa nchi hiyo tangu mfalme wa karne ya 16 kwa kuwazuwia Waisilamu wasisherehekee sikukuu na kuwazuia wasichinje nyama za halali kama kondoo na mbuzi. Lakini ikaja kushika kasi zaidi mwaka 2012 na kuendelea baada ya Waislamu watatu kudaiwa kumbaka mwanamke wa ki-Buddhist. Ndipo Waislamu wakazidi kupigwa vita na kuuliwa kinyama.

Religion in Burma (2010)
Buddhism (80%)
Burmese folk religion (6%)
Protestantism (5%)
Islam (4%)
Catholicism (2%)
Hinduism (2%)
Other (1%)
Hata hivyo wameongezeka, zamani walikuwa asilimia 0.2
 
Hata hivyo wameongezeka, zamani walikuwa asilimia 0.2
Kwa kutambua hilo, wamepewa 2-child limit na mitala ni marufuku. Halafu watakuja wengine kumwaga povu hapa wakati ni sheria za nchi yao ziheshimiwe kama ilivyo marufuku dini nyingine yoyote kuonekana Saudia au asiye mwislamu kukanyaga Makka.

Source: Burmese Muslims given two-child limit
 
Hao mabudhist ni magaidi.Huu ni ugaidi.Hiyo sio dini ni vikundi vya kigaidi.Na anayefurahia ugaidi huu,naye ni gaidi pia.
Unaweza kuta wana ahadi maalum huko ahera kwa kufanya hivyo..
 
Back
Top Bottom