Kwa ufaulu wa Division 1.9 HKL naweza kusoma IT

xitoh

Member
May 17, 2021
8
2
Nimemalza kidato Cha sita mchepuo wa HKL na Nina ufaulu wa div1.9 ila linalo nitatiza ni course ipi nichague na mimi napenda IT ilihali nimesoma Art.

Naombeni ushauri ni kipi naweza somea na hata mwisho wa siku niweze kuji ajiri.
 
Nimemalza kidato Cha sita mchepuo wa HKL na Nina ufaulu wa div1.9 ...
ila linalo nitatiza ni course ipi nichague na mimi napenda IT ilihali nimesoma Art.

Naombeni ushauri ni kipi naweza somea na hata mwisho wa siku niweze kuji ajiri
KARIBU SANA KWENYE UALIMU.
 
kwann umeon ushauri huo ni Bora??
Kwa sababu huwezi fika form IV haujui unahitaji nini!
Sasa wewe ushafika hadi form VI ndo unaanza kuuliza masuala ya IT wakati Combination haziruhusu.
Apo jiandae kusoma ualimu, lugha na ustawi wa jamii.
Maybe utumie cheti cha form IV kwenda course za IT
 
Siku hizi vyuo viko vingi ni pesa yako tu! Kuna Eagles wings college,Amazon, Sijui Datastar yaani ni wewe tu.Lakini sahau kuhusu UDSM,DIT na vyuo vingine vikubwa ambapo ndio penye IT halisi.
Huko hakuna IT halisi, IT halisi gani ambayo mpaka mwaka huu bado wanafundisha mambo ya mwaka 1973?

IT halisi utaipata hapa...

1. Youtube.

2. Udemy.

3. Experience/Mtaani.

Huko jalalani (UDSM) ipo IT ya miaka ya 1973 na 1980.
 
Siku hizi vyuo viko vingi ni pesa yako tu! Kuna Eagles wings college,Amazon, Sijui Datastar yaani ni wewe tu.Lakini sahau kuhusu UDSM,DIT na vyuo vingine vikubwa ambapo ndio penye IT halisi.
nashukuru Sana ila kuna vyuo kama IAA Mzumbe ya mbea na vingine ...
ila je ni nzur na rahc kujiajir nkisha hitimu??
 
Kwa sababu huwezi fika form IV haujui unahitaji nini!
Sasa wewe ushafika hadi form VI ndo unaanza kuuliza masuala ya IT wakati Combination haziruhusu.
Apo jiandae kusoma ualimu, lugha na ustawi wa jamii.
Maybe utumie cheti cha form IV kwenda course za IT
ok...
speculation is better
 
Back
Top Bottom