Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
7,896
14,358
Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.

Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.

Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.

Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.

FB_IMG_1600535648254.jpg
 
Tunasubiri tarehe 28/10/2020 kwa hamu sana ili tumchinjie baharini msaliti Lissu ili arudi kwao Ubelgiji.
Anautaka urais kwa kutanguliza huruma za kupigwa risasi ,na bado katumwa na mabwana zake na fadhira kwao ni raslimali za nchi yetu
 
From Magufuli side I see a tyranny of numbers.

I don’t know who the Chadema propagandists are in social media platforms — but they are good. Damn good. They say money can buy anything, except love. I guess they are right.

But I have a feeling the good people of Tanzania will be celebrating in October. Magufuli is kilometers ahead in on the nation’s coveted prize.
 
Leta hapa za jiwe! halafu utulinganishie! Hivi unafikiri ni kwa nini jiwe anakimbia mdahalo? Ni vizuri tuwakutanishe tuwachambue uelewa wa sera zao! kama hututapata chekechea anayeogopa hata kusafiri kwa sababu ya kichwa box huku akisingizia anabana matumizi!
 
katika wagombea wapuuzi huyu ni no 1,aliyempiga risasi hizo hajulikani labda hata ni wenzie huko huko kwake kwa kujifanya mjuaji namn hii leo.

Wanyturu wanasifika kwaa kuuza matogwa na uchafu mwingi sana kwa chakula huu ni uchafu. huyu tunaambiw ni mwanasheria ngunguli hajui hata sheria ya kumkosea heshima JPM hadharani ambaye bado ana miaka mi5 hewani iliyosajiliwa anamalizia kwa kuteleza tu,
huyu mgombea karata yake sijui Ubelgiji alikoenda matibabu miezi 12 tu anajifanya anajua kila kitu Ulaya nzima huku kuna wanasiasa wana miaka 30+ hawana story na Africa wala siasa zake washakata tamaa.

Mwacheni tu akimaliza hii porojo ataomba ten ukimbizi kwmba ni sias zinamuandama then apewe visa na familia yake. sidhani kama kuna kingine anataraji zaidi ya hicho,
 
Leta hapa za jiwe! halafu utulinganishie! Hivi unafikiri ni kwa nini jiwe anakimbia mdahalo? Ni vizuri tuwakutanishe tuwachambue uelewa wa sera zao! kama hututapata chekechea anayeogopa hata kusafiri kwa sababu ya kichwa box huku akisingizia anabana matumizi!
Za jiwe ni nini mkuu?

Kwa nyuma naona viti tupu visivyo na watu
FB_IMG_1600537743561.jpg
 
Wewe kama husikii anachokisema kwa kutumia matundu yamasikio ya kawaida jaribu kutumia tundu lingine utaelewa kwamaana muili unamatundu mengi
Alichokisema kwamfano leo kgm
1katiba mpya
2 uhuru
3 wote waliovunjiwa nyumba kulipwa
4 waliotolewa kazini bilakulipwa atawapa
5 walio chomewa nyavu kulipwa
Sasa ujasikia nini ulitaka aseme magu na ccm wote nawafunga au watakimbia nchi ndoungesema lisu kapiga serakweli
Wenzio ss wavuvi tunashangilia wewe vp bana kura yako mpe lisu niyeye
 
Ona hapa na sikiliza wewe ujambazi wa unayetaka kumrudisha ikulu!
Dola milioni 391 ni shilingi ngapi vile!? inabidi mafaili yaliyo vote 20 yafutwe/yachomwe kwa sababu Hapa kazi kumbe ni Hapa wizi tu

Mtaokotekeza vijitaarifa vya uongo lakini hamumkuti JPM
 
Back
Top Bottom